JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
si maneno yangu bali ni ya kocha mmoja mzalendo alipokuwa akihojiwa na kituo fulani cha redio akitakiwa aeleze historia yake ya ukocha.ndipo akasema kuwa kazi hiyo ameianza siku nyingi,na miongoni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanaume alisikika akilalama "haiwezekani akae kimya kwa miezi 2, anatumia nn? Au kuna mtu mwingine ana mhudumia? Siku za nyuma ilikuwa haiishi wiki". Haya yameibuka huku kwetu uswazi. Jamani...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau tukumbushane AKA za mashuleni tulikosomea. Mimi naanza na Minaki na Umbwe: Minaki aka Dabanga Tumbili aka Vinyanyiko Mkuu wa Shule aliyekuwepo wakati wetu aka Faza Mkuu wa Shule Msaidizi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nimetukanwa Kinyambe chako weee. Mimi nilikuwa najua Kinyambe ni jina la mtu, kumbe ni tusi jamani....... Daslamu matusi mengi jamani.... Wageni mwakaribishwa msijifunze mambo ya mji huu. Ushoga...
7 Reactions
35 Replies
7K Views
Sina sehemu yakutosha yakuelezea uzuri wako mpenzi wangu, tabia yako nzuri, kujali kwako, upole wako na ubunifu wako unanifanya nikuone bora kila siku... Ninayo furaha kubwa kuwa nawe!! utii...
5 Reactions
171 Replies
16K Views
Habari wakuu Naombeni ushauri maana nataka kubadili jina, badala ya kuitwa MKWEPA KODI nitumie jina la MFICHA SUKARI, sababu kuu ya kuamua kubadili jina ni kutokana na mgogoro wa kifamilia ambao...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni rough cut ya wimbo ambao nilikuwa nao mawazoni kwa karibu miaka mitatu sasa. So I decided to pick up my guitar na kurelax kidogo kwa kucheza muziki huu.. hope waimbaji wazuri wanaweza kuufanyia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilitamani niingie uwanja wa Taifa Nilitamani Nipite Daraja la Nyerere Nilitamani Nipande mabasi ya Kasi Sasa naomba nipite fly over TAZARA wewe je?
2 Reactions
50 Replies
3K Views
.
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo. 1...
8 Reactions
40 Replies
9K Views
Wanajamvi mambo zenu. Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono. wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi...
6 Reactions
254 Replies
17K Views
Unaalika binti date alafu anakuja na maringio, eti oooohh sor!!!! Babe sitakula nikitoka home nilipitia TILAPIA HOTEL nikala kuku.. Wewe na ungentlemen wako unamnunulia whisky ya Jack Daniels ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za usiku huu..... Niko off kwa wiki na nusu kisha narudi kibaruani. Niko nyumbani kwangu na jioni hii nimepata habari ambazo zimenichefua. Gafla nimepata hamu ya kulewa. ... Nataka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kudos hi!! Kuna mresh ameleta mtoi kwetu akisema ni wangu. Na huyo mresh nilikuwa nimedo naye round Mwenda, but hata nahesabu months since nifunue booty ya mistubishi hata moon Sita haijakaa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao: TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu. MWALIMU: Safi, haya juma JUMA: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule,mwalimu mkuu akamuuliza "hilo bango limeandikwaje?' mlevi "usikojoe hapa".Mwl mkuu "so,unafanya nini hapo?" mlevi kwa umakini na upole akamjibu.. "haki ya...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kuna mresh ako na ID name reads "RUBY" if hiyo avatar ni yeye pls I have my words for her! Sometimes I feel to ask her but I go cold!! Anyway if she reads along this thread, pls tujuane one Time...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Msomi mmoja mwenye PHD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatika kwenda shule walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia. usiku ulipofika wakaweka hema...
23 Reactions
77 Replies
27K Views
Back
Top Bottom