Je, Ni ushamba maringo au dharau?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Hivi mfano mtu anakupa namba yake ya simu lakini ukimtumia meseji ajibu wala simu ukimpigia apokei, acheni basi tabia hizo mnauzi sana,pia haihusu mapenzi au mahusiano wala sio ya kutongozana na biashara tu au maisha mengine.
 
Kwani lazima umshobokeee... Huna yako yAko ya kufanya au unabembeleza mtongozo. Kama mtongozo hakupendi huyoo mwache tu
 
Nani aliyeanza kuomba namba ya simu? Huenda ulipewa kwa sababu ulilazimisha Na hakuwa Na nia ya kukupa hiyo namba.
 
Sasa unamlalamika nani wakati yote yanatokana na ujinga wako? Ndio uache kusumbua watu ushaona hataki ya nini kujipendekeza babu wewe
 
Back
Top Bottom