47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Asala Aleikum, niko fiti lakini siku ya leo
inanikalia tu ngumu ata hivyo siwezi anza kuteta juu ni wengi wamejaribu lakini sumu.
sioni haja ya kuingia kwa bafu ju ni jana tu nilijimwagia ka shower wacha niingie base, siasa ni ya ball na kucheki
masupa wa-power.
kuna mtu ana deni yangu amenikanja wacha basi niingie mkahawa.
narudi base naskia kuna jamaa anaropokwa sana kwa vile sipendi noma naamua kujitoa kabla mashati kushikana.
nacheki mbota kumbe masaa huenda hivi bana ni breakfast time nimesota siwezi ingia kwa Paul, nina deni yake ya juzi na jana kwa hivyo leo nakauka, nikitembea nakutana na
beshte yangu siku nyingi hatujaonana.