47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Wasee niaje?
Mimi ni ule msee huwanga sikosi shida kwa area. Si Mnajua maisha zangu na mastory zake huwanga tu ni sad!! Wacha niwashoo vile ni mabalaa tu zinanisonhesha kaa kijeshi, at least kudos mnanipeaga mahope mob tu sana.
Last week nilipatana na sms kwa Facebook inbox, na huyo msupa akanishoo vile amependa maprofile & so & so.... Sahiyo alitumana picha mob tu zile nzuri na hata nijua sasa hizi ni zile bahati za kuponea just like those waliponea bahasha ya Ocampo. Akanipatia Hizo tenje na email. Nikamtobokea kama kijeshi, lugha & kutupa ndoano... Eeeeeh na akakubali.
Hata Sande nlikua siendagi church, but round hii nlieza enda hata kutoa mashukrani vile ng in in guy a ameniletea wife.
After hiyo, huyo kemfa alikuja na schedule ako na doo mob, na nimpee account number yangu asukumizie Hizo doo.
Then nikatumana hiyo acca. Na transfer ilikua ikuje leo usiku. Madhee ndo niko hapa kwa ATM machine kuchora hiyo credit. But out of my dismay napata hata Ile pesa yangu kwa bank imeenda, ati last withdraw ni Lagos Nigeria masaa 6mchana. Leo hivo tu kabisa. Sasa hiyo Lagos hata sijawahi enda na siezani enda. Napiga Ile tenje napata ni mteja.
Wasee nifanye aje cos sahi siezi afford cost ya anything mazee.
Kama kuna mtu hata ako na shamba anichore nilime Nipate tu hata fee ya semester at uni.