JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu tukiwa TUNAELEKEA Mwisho WA mwaka Mwenzenu Nina shida FULANI Nataka nitoke kwenye maisha yaani na maana niuage Umaskini 2017. Kwa kutazama naona msaada pekee niliobakisha ni members WENZANGU...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Najua sehemu pekee ambayo hakuna ufisadi wala woga ni peponi/Mbinguni, natamani sana kuiona siku hii ambayo hakuna mwana JF atakaeogopa kujianika yeye ni nani na alikuwa nani...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!. Karibuni sana njooni tumediteti!. Pasco!. Update...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Kama Speed limit ni 80KPH basi tui import magari yenye 80KPH
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hila kiukweli leo nimegundua kuwa watanzania kwa sasa wamevurugwa, nilikuwa morogoro mjini leo nikizunguka kuna v2 nilikuwa natafuta. Yaani wa2 maisha ni magumu. Kwa mfano nilifika sehemu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii theluji inayo dondoka kwenye screen yangu inanipa ubaridi wa kufikirika tu. Niko dala dala, joto ni balaa! Na jasho ndo latokota....
0 Reactions
13 Replies
967 Views
_KATIBA YANGU YA MWAKA 2017........_ _1.Usinipigie wala kunitxt ujinga wowote ule._ _2.Ukoina nimekukalia kmya fanya yako nina sababu zangu naomba ucniulize coz majibu yangu yatakukela_...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Habari Zenuuuuu..... Msije shangaa ni Birthday ya JF sio ya kuzaliwa. ha ha h ha ha ha DA
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wasukuma Mungu anawaoneni mjue
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani, mimi sio mzee, ni kijana na damu yangu bado mbichi na inachemka... Kisa cha kuniwekea ka mkongojo kwenye profile yangu nini? Mnataka mabinti wanikimbie? Jamani, embu nitoleeni hako ka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Me kiukweli hata sikumbuki mara ya Mwisho kugombana na binadamu mwenzangu Kwa sababu yoyote Ile. Nashangaa Sana kukuta watu WAKIGOMBANA ngumi na mateke. Sielewi hii kutoelewana inachangiwa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA.
2 Reactions
3 Replies
963 Views
Ni foleni yaani magari kila kona shamrashamra tu huku mgombani yaani ni jambo la kushukuru kwakweli. Aika ruwa wakwa nimeiona krismas ndo hivyo tena nami siacha kuhesabiwa hata nauli ingefika...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Maswali ya psychology be like Chagua jibu sahihi...zaidi. Leo Ni ---? (A). jumapili (B). sikukuu (C). Christmas (D). Tar 25 [emoji124][emoji124][emoji124]cku feli makusudi
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Chizi amefiwa na nduguye watu wote wakawa wanalia yeye ameinama tuu! Jamaa wakamuliza wewe vipi humlili nduguyo? Akajibu nalia ila nimeweka vibration...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Oyooo machaliii veepee, manyookaaa veeepee, marasta veepeee, mafly culture veepee, Mi nipo picnic hapa viwanja vya stress free zone, haya mavazi ya wahudumu mbona balaa, mizungu ya unga toka...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
[emoji1304]
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread haikosi comment ya namna hio 1.weka picha 2.subiri waje/wanakuja 3 .Basi sawa 4.hahahahah 5. Tafuta kazi ya kufanya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
1.uwe na gari kali 2.Uwe mtanashati 3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri 4.Uwe mtundu kitandani 5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga 6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa...
7 Reactions
201 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…