Planett JF-Expert Member Mar 20, 2014 10,483 16,156 Dec 26, 2016 #1 Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA.
Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA.
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 33,455 35,891 Dec 26, 2016 #2 Planett said: Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA. Click to expand... Ahahahahahaahaa
Planett said: Wazazi wako wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 20 halafu unaulizwa your best couple unasema Beyoncé & Jay Z!! MUNGU ANAKUONA. Click to expand... Ahahahahahaahaa
pistmshai JF-Expert Member Dec 12, 2016 1,313 3,683 Dec 26, 2016 #3 ndio maana tangu ulipoamka asubuhi hadi saiv umeshaongea na wapenzi wako wote. Lakini hujui hata wazazi wako wameamkaje..!
ndio maana tangu ulipoamka asubuhi hadi saiv umeshaongea na wapenzi wako wote. Lakini hujui hata wazazi wako wameamkaje..!