JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kimya sana hawa watu isije kuwa Yale yaleeee!!!
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie. Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae. Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
6 Reactions
102 Replies
18K Views
Wakuu Salaam kwenu. Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari ya humu ndani wandugu, Kuna tabia moja ya hawa ndugu zetu wa huu mkoa wa mwendokasi wanoajiita wazawa au wandewa. Inakera sana jambo dogo utasakia mjini kitambo wanajiona kila kitu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani nimejaribu kuangalia movie nyingi za huyu bwana naona signs nyingi ni zile zinaazotumika kwenye free massons..ndugu zanguni akuna utajiri mzuri kama kutoka kwa mungu...najua atuwezi kufikia...
0 Reactions
25 Replies
34K Views
kwa wale tuliosoma zile shule zetu maneno haya si mapya 1.Hawafu mwenye nguvu 2.Moto na maji 3.Juma na uledi 4.Siku ya gulio 5.Pamela na kipini 6. kuku na yai 7.jogoo wa ajabu...
2 Reactions
83 Replies
25K Views
Niwatakie sikukuu njema ya X-mass.
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Mwaka 2016 nenda tuu baba, tumejionea mengi juu yako hatukuchukii ila ujio wako ulikuwa na mbwembwe sana. kama nilivyo kubali kukupokea pia acha nikubali kukuaga. nenda tuu baba na maajabu yako...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa ka agiza flat TV [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajf nmerudi tena nlkua nauliza sifa za wanaume wa kichaga wa kibosho ni zipi?
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Naanza kama sijakutaja si kwamba sikupendi ila tecno yangu ni hasara tupu: Asprin, Kaka Kiiza, Lizzy afrodenzi Teamo Fidel80 Baba Enock Fixed Point Mzee wa Rula Preta paka Jimmy...
18 Reactions
254 Replies
18K Views
Happy Birthday To Me Mwenyezi Mungu anijalie maisha marefu, ya amani, uzima, baraka na furaha tele......!!!!!
0 Reactions
9 Replies
695 Views
Wakuu nikitaka kujua au kupata thread iliyo mfanya mwan jf kuwa banned nifanyeje..? D-A ni mmoja kati ya wanafamilia ambao wanauwezo mkubwa wa ku contain/absorb shoks wanapokuwa provoked...
0 Reactions
207 Replies
13K Views
Wapendwa wanajamvi Ninaomba tujumuike pamoja na dada etu Dena Amsi katika kumfariji kwa kumpoteza Bibi yake Mzaa Babake, aliyefariki jana Dar Es Salaam. Msiba upo Binju A shuleni. Pole Dada...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Nakumbuka wakati wa Bia ya Bigwa ndio kwanza inatoka kuna shombeshombe mmoja alikunywa kama bia mbili tu. Jamaa hakuweza kutembea basi rafiki zake wakambeba na kumuingiza kwenye Taxi, Yule dereva...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
_Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu _ "haujasteseka kuliko mimi" Utafikiri kuteseka ni mashindano. Ni Tanzania Pekee........... Endelea
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Taasisi ya uhakiki wa mvua duniani(Taumdu) inapenda kutoa taarifa kwa yeyote anayetegemea rasimali ya maji yatokanayo mvua za misimu yote ya Mwaka 2016/2017,kuwa hakutakuwa na mvua hasa NCHI ya...
0 Reactions
10 Replies
997 Views
Wendawazimu watau waliamua kufungua shule chini ya mti. Wakaokota vitabu wakajifanya wanasoma. Kesho yake wakamkuta mmoja wao amepanda juu ya mti. Kumuuliza mbona uko juu? akawajibu niko high school.
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimepita sehemu mtu kanunua mbege ila kabla hajaanza kunywa akamwambia muuzaji aonje kwanza(Ria), kwanini Mbege tu na sio Bia sijawai ona mhudumu kafungua bia na mteja kumwambia Onja. Kwanini...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam jf. Kuna jamaa mmoja et! kaniambia kuwa nchi zote duniani nyimbo zao za taifa zina videos, sasa kasema kasoro TZ peke yake. Hii ni kweli au fix?
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Back
Top Bottom