Tusadiane kujibu chemsha bongo hii tupunguze stress

EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,689
2,000
mkuu..!

Hilo swali sio la physiology
Physiology ni biologia inayohusu maumbile na kazi za mfumo wa viumbe hai.. simply BIOLOGY IN MOTION

Sasa hapo chini najiandaa kuona physiological Question halafu nakutana na Leo ni...
Psychology alimaanisha hiii
 

kamatembo

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
855
1,000
Maswali ya physiology be like
Chagua jibu sahihi...zaidi.

Leo Ni ---?
(A). jumapili
(B). sikukuu
(C). Christmas
(D). Tar 25

cku feli makusudi
Leo ni jp zaidi kuliko sikukuu na ni sikukuu zaidi kuliko xmas ila ni tar 25 zaidi kuliko sikukuu
 

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,960
2,000
Kama mtu atajibu Leo ni Sikukuu atakua kakosea maana kuna wengine hawasherehekei siku husika.

Kama mtu atajibu ni CHRISTMAS basi kakosea kwa sababu kuna nchi hazina utaratibu huo wala hazitambui siku hii husika ya Noeli.

Kama mtu atajibu tar 25 atakua kakosea maana ni tarehe hiyo hutokea ndani ya Miezi kumi na mbili ya Mwaka na hatujui ni ya mwezi gani imeandikwa.

Jibu sahihi kidogo lingekuwa A.
Maswali ya psychology be like
Chagua jibu sahihi...zaidi.

Leo Ni ---?
(A). jumapili
(B). sikukuu
(C). Christmas
(D). Tar 25

cku feli makusudi
 

mbwana semsimbazi

Senior Member
Sep 5, 2013
196
250
Hivi ushawahi kukutana na multiple choice Kama hii
Chagua jibu sahihi...zaidi

Jana ilikuwa Ni ---?
(A). jumapili
(B). sikukuu
(C). Christmas
(D). Tar 25

walofeli hawakufeli makusudi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom