Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Jamani, mimi sio mzee, ni kijana na damu yangu bado mbichi na inachemka... Kisa cha kuniwekea ka mkongojo kwenye profile yangu nini? Mnataka mabinti wanikimbie?
Jamani, embu nitoleeni hako ka mkongojo, bado nina nguvu za kutembea na hata kukimbia...
Hivi vitu vya wazungu waachieni wenyewe...
Jamani, embu nitoleeni hako ka mkongojo, bado nina nguvu za kutembea na hata kukimbia...
Hivi vitu vya wazungu waachieni wenyewe...