ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,316
- 50,523
Me kiukweli hata sikumbuki mara ya Mwisho kugombana na binadamu mwenzangu Kwa sababu yoyote Ile. Nashangaa Sana kukuta watu WAKIGOMBANA ngumi na mateke. Sielewi hii kutoelewana inachangiwa na nini.. Sijui kwako mawanajf mwenzangu mara yako kugombana nini chanzo na ugomvi uliishaje? Naposema ugomvi Namaanisha ule WA kupigana ngumi kabisa WA kuzinguana kiasi kwamba hakuna WA kuwamua Kwa hio mnaonyeshana ubavu..raha Sana kutoana mchuzi.mara yako ya Mwisho lini? Au Jana tu UMETOKA kupigana?