ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,541
Wakuu tukiwa TUNAELEKEA Mwisho WA mwaka Mwenzenu Nina shida FULANI Nataka nitoke kwenye maisha yaani na maana niuage Umaskini 2017. Kwa kutazama naona msaada pekee niliobakisha ni members WENZANGU WA jf. Naulizia tu nitajiwe mabilionea au wenye mamilioni ya hela ili niwafuate pm Kwa sababu Nina mipango mingi kishenzi tatizo ni hela tu. So kama unajijua wewe ni bilionea Naomba uni pm nikupe mchongo pengine unaweza kunisadia.natanguliza shukrani wenye MAHELA mengi mengi Kuanzia million 300 wani pm au nitajiwe majina Yao niwakute HUKOHUKO pm. Nimejitoa Kwa kutanguliza shukrani