Moshi kumefurika balaa!

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,156
Ni foleni yaani magari kila kona shamrashamra tu huku mgombani yaani ni jambo la kushukuru kwakweli.

Aika ruwa wakwa nimeiona krismas ndo hivyo tena nami siacha kuhesabiwa hata nauli ingefika laki 3 kiruuuu ningekuja. Na nilivyo na ugwadu wa wari/ pombe ya mbege yeleuwiii leo nakesha na pipa!!!!

Merry x-mass wote
 
dah natamani kesho niwe black diamond au meku bistro najua ntaopoa toto zuri ya kimarangu
 
Daah hawa jamaa wa kaskazini nimeshajua kwanini wanachukiwa serikalini,wanajua ukimpa madaraka mtu anayepathamini kwao basi kwao kutakuwa kwa simulizi,kuna mijitu tangu imekanyaga dar haijui hata mabasi ya kwao yanapandiwa wapi
nani kakudanganya wanachukiwa serikalini, au hisia zako?
 
Ni foleni yaani magari kila kona shamrashamra tu huku mgombani yaani ni jambo la kushukuru kwakweli.

Aika ruwa wakwa nimeiona krismas ndo hivyo tena nami siacha kuhesabiwa hata nauli ingefika laki 3 kiruuuu ningekuja. Na nilivyo na ugwadu wa wari/ pombe ya mbege yeleuwiii leo nakesha na pipa!!!!

Merry x-mass wote
Alafu mlalamke maisha magumu
 
Haitakuja kutokea wachaga wasirudi nyumbani kula xmas hii ni kwa kizazi cha wale waliozaliwa bush na kukulia bush wakaemda town ukubwani ila kwa wale waliozaliwa town kizazi chao kikifika itakuwa salaaleee kwenda bush
 
Back
Top Bottom