msambaa mwenyewe
Member
- Aug 17, 2016
- 69
- 45
Hila kiukweli leo nimegundua kuwa watanzania kwa sasa wamevurugwa, nilikuwa morogoro mjini leo nikizunguka kuna v2 nilikuwa natafuta. Yaani wa2 maisha ni magumu.
Kwa mfano nilifika sehemu nikataka kununua muhindi, nikaulizia bei akasema mia tano, nikamuuliza una chenchi ya elfu kumi, huwezi hamini yule mzee alivyoniangalia kwa kukata taaamaa! Nilijifuza ki2 nikahamua kuondoka. Yaaan maisha ya watanzania wa kawaida ni magumu saaana. BILA KUANGALIA CHAMA TUPIGE KELELE IKIWEZEKANA TUPAZE SAUTI KWA NAMNA YOYOTE SERIKALI ICHUKUE HATUA WATU WANA UMIA. SAAANA.