JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute. I have also noted that the only guys who...
11 Reactions
404 Replies
22K Views
Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na...
13 Reactions
122 Replies
4K Views
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
2 Reactions
20 Replies
366 Views
Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?
4 Reactions
24 Replies
340 Views
Mimi paka wangu huwa anaona aibu hata nikimuangalia
2 Reactions
4 Replies
133 Views
Huyu bwana amefagilia uchafu alionao utadhani kitu cha maana sana. Lakini kwa wenzetu kuwa mchafu sana ni mtaji kwani unakuwa umejiajiri, watu wanaingia kukuona kwa dollar. You become a private...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni muda wa kujiachia.. Masingo wanajigeuza tu vitandani Wakataa ndoa wako busy na chabo na vichelema🥸
18 Reactions
201 Replies
3K Views
Mshana Jr
15 Reactions
156 Replies
9K Views
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
12 Reactions
122 Replies
15K Views
Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi. Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers...
7 Reactions
27 Replies
396 Views
Kama heading inavyojieleza, nasikia hili shirika huko nyuma mtandao wake ni wa ovyo sana, labda mwaka 2026 wamebadilika, vipi niijaribu?
5 Reactions
17 Replies
267 Views
Wakuu, Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌 Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge...
8 Reactions
16 Replies
307 Views
Kwa siku za karibuni imejengeka kasumba ya wanawake wa Dar kwenda maeneo ya public na kutumia usafiri wa umma hali ya kuwa hawavai underwear (chupi) ambazo huwastiri. Tabia hii imekuwa kero...
7 Reactions
20 Replies
680 Views
It was all started at JF.. And of course PM.. Then contact exchange.. The rest ni maumivu ama experience za kuvutia! Alinikopesha 2,000,000 kwa lazima kwa riba ya 600,000 kwa mwezi! I paid it...
10 Reactions
170 Replies
2K Views
M'bongo kaunda nini....? Maana sielewi
4 Reactions
12 Replies
182 Views
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi. Mimi, August 15.
26 Reactions
6K Replies
524K Views
Mfano mi ndo baba mkwe wako sasa hembu nishitakie tabia za mwanangu. Twende kazi
10 Reactions
530 Replies
4K Views
Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie...
4 Reactions
23 Replies
389 Views
Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati. Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa...
7 Reactions
20 Replies
296 Views
Back
Top Bottom