https://youtu.be/l9O_SFcH4Kk?si=8pa6gXoGqegGxO-s
https://youtu.be/_z-1fTlSDF0?si=zCuY2MKF0Bw079lm
Happy birthday to me Vincenzo Jr
Ishi maisha marefu sana hauna baya iconic wa kigamboni 😎...
Asalaam aleykum!
Wakuu habari za siku nyingi,wale waliotangulia mbele za haki mungu awasamehe makosa yao wapate amani na wale wangonjwa Mungu awaondolee maradhi ili waendelee katika shughuli za...
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika
Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za...
Forget.
Kifupi ni kwamba,
Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga...
Habari za muda huu wana Chit-Chat.
Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari kuhusu watu ambao tunapenda sana kukaa peke yetu (solitude) ili kufanya mambo yetu ya msingi au kutafakari.
Kuna watu...
Usiku na mchana, nimefanya bidii kuwagawia chakula cha uzima. Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia ili niwe shahidi wa Yesu Kristo...
Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi...
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu.. au...
Neno Acha Ujinga limekuwa maarufu sana jf,na limetumika kuanzia zamani sana,juzi nilitembelea uzi wa Makapuku nikakuta toka 2016 hili neno linatumika sana
Kwahiyo neno hili lipewe imoji ili iwe...
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi...
GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni...
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.