Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,696
- 61,214
Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi zingine tukawa tunagawana faida?