Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,410
- 2,730
Mlev alienda baa baada ya kufika akaketi.Akamuita mhudumu akamweleza amletee bia.mhudumu alipoleta bia kulikuwa na watu karbu naye.Mlev yule akaagiza mhudumu awaletee bia maana hapend akinywa watu wakimtazama. Baada ya kunywa bia mlev yule akakwenda kulipia bil.mhudumu akamuliza vip kuhusu wenzio?mlevi akajib sipend kulipa watu wakinitazama nao waje walipie bil yao. Huku mhudumu akiachwa na butwa,huk mlevi akisepa zake.waliyokunywa bia iliwabid walipie bil maan walishindw kumuelewa mlev.