Situmii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake
Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend
Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa...
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Baada kutwaa ubingwa jana mashabiki wa arsenal wamefurahi sana.Yan n part to party maana sio mchezo 22 yrs bila mafanikio.
yan kipind cha mwisho walishinda Epl nlikuwa na miaka 6 na saiv 28...
Does'it true that man and apes originated from a common ancestor.There was a time i walked towards a forest for a research on how apes behave.
Aand from my observation i noted that the apes...
Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake,
kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa ...
Ni jambo kama linakuwa fashion sasa
Kuna wezi wa aina mbili.
1. Wanaotakiwa kuzikusanya kuzihesabu na kuzihifadhi
2. Wanaoingia nyumba za ibada na kuvuja ofisi zinapotunzwa sadaka kisha kuiba na...
Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa.
Ilifika kipindi mpaka...
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
Katika maisha ya sasa, watu wengi wamejikuta wakitumia muda mwingi kwenye kazi, biashara, au internet kiasi cha kusahau afya zao, familia, mahusiano, na muda wa kupumzika. Wengine wana pesa lakini...
Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa?
Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo.
na Top 10 yangu ni hii:
1. Sister Abigail
2...
Nimetoka zangu kwenye mihangaiko ya hapa na pale, nikaingia bandani nikachukua mayai mawili kutoka kwa kuku wangu wa kienyeji, nikayachemsha na kuyafanya kitafunwa na chai yangu ya kahawa, huku...
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala...
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya...
Nimewamiss wanajukwaa.
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!
Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na...
Bata batani, wana wa stress free zone
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada...
1. Wahaya.
Wapo vizur kichwani yaan shule inapanda.
Wana mvuto, Papuch zao laini
Hawanyimi ukienda vizuri
Wanaweza kutoa papch kwa miadi ya pesa.
Are mostly black beaty na maumbo mazuri
Selfish...
Time is "makangability" (Time is making ability)
Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE
Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.