Wakuu wasalaam,
Bwana mimi huwa sipendi kubishana kabisa na mabinti na hata akinikosea huwa siwezi kumfanya chochote namuangalia na kumwacha tu. Kama ni muelewa huwa namkanya aache kitu fulani...
Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Hili jukwaa kuna kipindi...
Sometimes huwa tunafanya mambo kimazoea na kujitia ujuaji mwingi.
Najua mwana JF kuna siku uliaibika Aidha kwa ushamba ulionao, kujitia mjuaji ama kutokuwa na ufahamu juu ya Mambo fulani fulani...
Kesi maarufu ya "Wabakaji wa Dodoma" iliyohusisha binti wa miaka 17 kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, ilihitimishwa kwa watuhumiwa wakuu kupatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela...
Ukiwa na hela mjomba wako akihojiwa kuhusu wewe atasema:
“Huyo? Mtoto wa dada yangu tumbo moja kabisa… damu yangu huyo.” 😭
Lakini ukiwa kapuku:
“Ah yule ni mtoto wa dada yangu tu…”
Mpaka sauti...
The things that truly matter in life cannot be bought or sold...!
they center entirely around health, meaningful connections, time, and personal purpose.
When everyday distractions like career...
Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.
Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.
Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa...
Eti unataka (mnapenda) muziki wa kufokafoka nyie mmekuwa Mbwa? Angalia sasa hii cheza yake ni ya Kihuni / Kisela sana. Hapa ni Mtu mzima yuko hivi sijui alivyokuwa Kijana alikuwaje.
Mzunguko wa Ncha (The Rim Licker): Kulamba pembe zote za juu ambapo ice cream inakutana na koni ili kuzuia isidondoke.
Unyonyaji wa Juu (The Top Sucker): Kunyonya au kulamba ice cream kutoka juu...
Situmii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake
Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend
Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa...
Binafsi nataka kuacha ulevi/starehe zote, yaani wa pombe, sigara nk.
Je nikiache nitumie nini kama mbadala waa starehe ya pombe, sigara nk.
Sitaki kuhusu uzinzi.
Baada kutwaa ubingwa jana mashabiki wa arsenal wamefurahi sana.Yan n part to party maana sio mchezo 22 yrs bila mafanikio.
yan kipind cha mwisho walishinda Epl nlikuwa na miaka 6 na saiv 28...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.