Things that matters

Things that matters

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
364,488
Reaction score
841,251
The things that truly matter in life cannot be bought or sold...!
they center entirely around health, meaningful connections, time, and personal purpose.

When everyday distractions like career status, social media presence, and material accumulation fade away, what remains are the core foundations of human fulfillment...!🔥💖💪🏿
Things-That-Matter-Vs-What-You-Can-Control.jpg
 
Swahili language pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz!
Akina lasabaD umetuacha asee

Cc Smart911
Mambo ya msingi yanayohitaji kupewa kipaumbele katika maisha hayawezi kununuliwa kwa fedha; yanajumuisha afya, mahusiano mema, muda, na malengo ya maisha.

Mapito ya kawaida kama vile vyeo vya kazi, mitandao ya kijamii, na mali yanapofifia, misingi mikuu ya furaha ya mwanadamu hubaki palepale.
 
Santo sana kwa mwongozo!
 
Maisha ni nini? Huyu ndio Bingwa MICHAEL SCHUMAKER,aliyekuwa bingwa wa kuendesha gari Duniani.
 
Back
Top Bottom