Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,803
Sometimes huwa tunafanya mambo kimazoea na kujitia ujuaji mwingi.
Najua mwana JF kuna siku uliaibika Aidha kwa ushamba ulionao, kujitia mjuaji ama kutokuwa na ufahamu juu ya Mambo fulani fulani.
Mimi: kipindi cha nyuma tulienda hotel moja kuogelea/swimming. Tulikuwa mobb ya watu kama 12(ke&me). Sasa kiubaridi cha saa 12 kikanipiga nikasema isiwe kesi ngoja nibugie hata tuvikombe tuwil twa kahawa nipunguze baridi. Washkaji waka ni alert ila nikasema liwalo na liwe walet ina 15000tsh bhana! haiwezi kuzidi hapo. Nikaitisha kahawa yangu... ile namalizia mhudumu/mama anakuja kukusanya vyombo vyake na sukari yake nyeupe( maana niliibakiza) nikapewa bill ya tsh 22500

. sheee tabala roi. Mimi nilijua mbalauni kama kwa mama clareee kumbe nauli ya chuga- moro kbs???
Na mmaza wa watu anataka kuondoka na pesa yake. Ikabidi washkji wajichange kimya kimya 6500 ikapatikana. Ila nilikiona cha moto kutembea kwa miguu kutoka hapo mpaka nyumbani. Na Nashukuru mamy siku hiyo sikuongozana naye.
Msinicheke wengi yametukuta. Je na wewe yalikukuta yapi???