Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.
Haya kazi kwenu mtachagua sasa msije shangaa mpaka aliyempigania kikatiba mstaafu CDF naye kafanywa kama wengine.
Hapa nahisi kama napigwa changa la macho, inawezekana gari kutembea kwa tairi tatu pekee? JamiiCheck, na wajuvi wa masuala haya mtujulishe lipi ni lipi
Wakuu
Nimekutana na hii baua ikionesha kuwazua watumishi wa serikali wasijihusishe na post za wanasiasa kama vile Sativa, Mange Kimambi na Maia Sarungi. Je una uhalali kiasi gani?
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenda mtandao wa Facebook Ikieleza kuwa Bangi Ekari 10 zimepatikana Katika Shamba la Askofu Emmaüs Bandikile..je Taarifa Hiyo Ina Ukweli Kiasi Gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.