JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Jamii Forums naomba mfanye Check ya hii video kubaini ni ya zamani au ya hivi karibuni. Binafsi niliona hii video kwenye post za wazungu kusoma comments nikaona wanasema video ni ya Zamani sana. Lakini cha kushangaza video hii inaendelea kutrend na kuaminika ni ya jeshi la wauza madawa wakitishia serikali baada ya El Mencho kuuwawa. Mmoja wapo aliyepost ni Farhan ambaye ni muandishi wa Clouds akihisi ni video ya hivi karibuni Naomba tupate ukweli
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likimunukuu John mnyika kutoa kauli inayosema kuwa tusipo muangukia mbowe wanachadema hatutoboi Baada ya kufanya ufuatiliaji wa kina kwa kutumia njia ya utafutaji wa maneno tumebaini kuwa taarifa hiyo nipotoshi na ina nia ya kupotosha umma ufuatiliaji unabaibnisha kuwa kauli hiyo haijatolewa na john mnyika kwani kwa siku za hivi karibuni hajazungumza na vyombo vya habari kando na hilo ukurasa rasmi wa chnazo tv siku ya tarehe 20 haujachapisha habari hiyo sehemuyoyote ikiwa ni facebook , instagram na x zamani twiiter sambamba na hilo ufuatiliaji umeonesha kuwa kupitia mitandao ya kijamii wa john mnyika haujachapisha maudhui yanayomuhusu aliyekuwa mwenyekiti wa...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na picha (graphic) inayosambazwa kwenye vikundi vya Facebook ikimnukuu Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Boniface Anyisile Mwabukusi Picha hiyo inadai kuwa Rais huyo amesema matamshi ya Tundu Lissu yana viashiria vya "uhaini" na kwamba yanapaswa kuzungumzwa mezani .kama yanavyonukuliwa Matamushi ya Lissu yalikuwa na Uhaini ndani yake turudi mezani yanazunguzika.. Ufuatiliaji wa kina uliofanywa kupitia mbinu ya utafutaji wa maneno muhimu (Keyword Search) umebaini yafuatayo: Ufuatiliaji umebainisha kuwa Ukurasa wa Chanzo TV, ambao nembo yake imetumika kwenye picha hiyo, haujachapisha taarifa yoyote ya aina hiyo katika akaunti zao za Facebook, X (zamani Twitter), wala Instagram. Rais...
Back
Top Bottom