JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

TAARIFA KWA UMMA UTAMBULISHO WA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA HAKI NA MAENDELEO (CHAUMMA) Dar es Salaam, 21 Mei 2025 Chama cha Haki na Maendeleo (CHAUMMA) kinapenda kuwataarifu wanachama wake, wapenzi wa chama, na umma kwa ujumla kuwa, katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichofanyika tarehe 10 Mei 2025 jijini Dar es Salaam, uamuzi ulifikiwa kwa kauli moja kumteua Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chetu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Uteuzi huu ulithibitishwa na kuidhinishwa rasmi na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa uliofanyika siku hiyo hiyo jijini Dar es Salaam, ambapo wajumbe wote walionesha imani kubwa kwa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kupeperusha...
BARIDI MPAKA AGOSTI. KUMBUKA: Kuanzia leo saa 5:27 asubuhi, tutapata APHELION PHENOMENON. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake. Itaendelea hadi Agosti. Tutakuwa na hali ya hewa ya baridi, BARIDI KULIKO WAKATI WOTE, ambayo italeta mafua, kikohozi, matatizo ya kupumua, n.k. Tunahitaji kuimarisha kinga yetu kwa kutumia vitamini na virutubisho vingi ili kuwa na afya. Umbali kati ya Dunia na Jua ni dakika 5 za mwanga, au kilomita milioni 90. Tukio la aphelion hutuchukua kilomita milioni 152 kutoka Jua, au 66% zaidi. Hewa itakuwa baridi, miili yetu haitumiki kwa joto hili, kuna tofauti kubwa. Lazima tuhifadhi afya zetu iwezekanavyo, iwe ni mawingu au jua, ongezeko la baridi...
Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu! Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa
Back
Top Bottom