Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
1 Reactions
30 Replies
31K Views
Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Nikiwa kama shabiki wa Azam nimesikitishwa mno na perfomance ya timu Yangu hasa kwenye ukabaji wa timu Timu ya Azam linapokuja suala la ukabaji ni wachezaji wachache sana wanaotimiza wajibu wao...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume...
0 Reactions
14 Replies
984 Views
Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza! Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Sina iyo kumbukumbu labda mwenye nayo atujuze, hat trick kwenye derby sio jambo la kitoto eti ni mpaka uwe Bora aswaa na uwe fiti kwa 100%. Mchezaji aliyekamilika atapimwa kwenye mechi ngumu Kama...
15 Reactions
38 Replies
2K Views
Shabiki wa Yanga aliyejitambulisha kwa jina la Baba Rabiyat ametoa ahadi ya kupunguzwa idadi ya vidole kwenye mkono wake wa kulia endapo Simba itashinda mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly! Source...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
(1) Mudathri na Feisal salum walitegeana kuingia uwanjani hii ilishatokea kwa Aziz k na Chama kutopeana mikono. (2) Vita Kali katikati ya uwanja baina ya viungo wakabaji Aucho, Mudathri na...
18 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilisubiri kwa hamu kubwa kuona mashabiki wa Simba sc kumwaga maua kwa Mashujaa zao baada ya mchezo kuisha lakini imekua tofauti zaidi nimeona lawama tu. NALIA NGWENA nazungumza kimpira...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa...
7 Reactions
99 Replies
6K Views
Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League. Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa Kwangu mwana Simba SC lia lia, ila GENTAMYCINE nachukia sana Uwongo na Ufahari wa Kijinga kama si wa Kishamba. Unaandika Tickets SOLD OUT ili Uwakoge wana Yanga SC huku wenye...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Mabingwa watetezi na wataalamu wa kutandaza soka safi, soka burudani nk watakuwepo uwanjani leo kupigania point 3 muhimu dhidi ya Azam wanalambalamba. Bila kupapasa nasema leo Azam anafungwa za...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom