Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yaani GENTAMYCINE na yule mtu mmoja wa BAKWATA tukiingie Msituni kuipambania Timu nje ya Uwanja halafu Mwarabu atoke bila Kipigo/Kichapo? Sikumbuki ni lini GENTAMYCINE nimeshirikishwa katika...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Phiri Chama Saidoo Kibu Ngoma Kanoute Tshabalala Chemalon Inonga Kapom (Kipa Yeyote) Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bingwa - $4,000,000 / Shilingi bilioni 10 Mshindi wa pili - $3,000,000 / Shilingi bilioni 7.5 Kuiingia nusu fainali - $1,700,000 / Shilingi bilioni 4.2 Kila timu itayotolewa mwanzoni -...
10 Reactions
57 Replies
8K Views
Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa Uzi tayari Povu ruksa
2 Reactions
8 Replies
788 Views
Mimi ni Mwanasoka , lakini Tangu niingie kwenye Mchezo huu sijawahi kuona ushirikina na uchawi kama unaofanyika kwenye Uchaguzi wa Chama cha soka cha Temeke. Hivi ni nani anainjinia Mambo haya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni mchezo wa...
1 Reactions
6 Replies
779 Views
22 October 2023 Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League ENYIMBA 0 - 1 WAC Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc...
1 Reactions
604 Replies
37K Views
Ahmedy Ally anawadanganya Sana wanasimba na kuwaona kuwa ni wajinga na wasiojua chochote kuhusu mpira. Kama tu kumfunga Power dynamo ulishindwa alipokuja nyumbani kwako je utaweza kumfunga Al...
3 Reactions
5 Replies
603 Views
Mlete mthunguuu Ni muda wa wanamichezo kufurahi na memes zetu za kimichezo
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi. Taarifa ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimefatilia mashindano ya AFL ambayo kimsingi yanahusisha team ngumu zaidi za Africa. Katika kuangalia kwangu naona kiwango Cha Yanga na Simba kwa hivi Sasa wanaweza kucheza na team yoyote Ile na...
4 Reactions
21 Replies
905 Views
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu. Tunajua mama ni...
10 Reactions
76 Replies
6K Views
Nasikitika kwamba siwezi kununua jezi kwa sababu huku mikoani zimejaa jezi ambazo hazina kiwango. Kuna mahali ilifikia nikaamini huenda wapinzani wanazalisha jezi za hovyo ili kuharibu brand ya...
1 Reactions
1 Replies
514 Views
Kocha wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni Mkuu wa maendeleo ya soka wa FIFA, Arsene WENGER tayari ametua nchini Tanzania kwa ajili ya kuitazama mechi ya ufunguzi wa Mashindano ya African...
11 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa. Ahmed Ally na viongozi wako...
12 Reactions
117 Replies
8K Views
Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Haya ni maoni ya mchambuzi maarufu kwenye kituo flani Cha redio "Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Sijawahi kuona watu wanaumia kiwango hiki. Hili timu wanafanya kila wawezalo kujilinganisha na Simba na kutaka wawe juu ya Simba ila kila wakijaribu wanakwama. Wanaumia Simba kutoa sare na...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom