Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello wadau... Kwa Miaka ya karibuni soka la Tanzania limekua na mvuto mkubwa kiasi kwa sasa ni rahisi tu Kwa shabiki hata wa shule ya msingi kukutajia kikosi cha kwanza cha Simba au Yanga bila...
3 Reactions
10 Replies
816 Views
CEO wa Yanga Eng.Hersi saidi alisikika akisema wao Mpango wao ilikuwa ni Kufika Makundi! Ina Maana Matokeo Mengine yakija ni Bahati tuu Au Mbeleko? Au ndio kwenda unajificha kwa kuogopa? Hakuna...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna jambo ambalo nilianza kulinotice msimu uliopita. Nakumbuka kuna kipindi ambacho Simba akishinda 4, Yanga anashinda 4, Yanga wakifunga goli kama la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe, Simba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu...
19 Reactions
50 Replies
5K Views
Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 4 kwa ubora Afrika mashariki na kati Al Merreikh namba moja ni Simba mbili ni mazembe tatu al hilal nne ni al merreikh. Lengo letu...
17 Reactions
58 Replies
4K Views
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni: 1. Simba asanteni kwa kushiriki. 2. Wakienda Misri watapigwa nyingi. 3. Ingekua Yanga...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Mwaka 1993 wakati Simba ilipoingia fainali ya kombe la Mashudu Abiola kiongozi na mfadhili wa Simba wa wakati ule ndugu Azim Dewji aliwahadaa wanasimba kwa kutoa zawadi ya gari/daladala za Chai...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Walivyokuwa wanamprovoke Maguire pale United mambo yalipokua hayaendi sawa walijua ndio mwisho,Saivi gari limebadilika wanajisahaulisha.. Simba vs P.dynamo mashabiki walibeza Sub ya Bocco...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano...
3 Reactions
5 Replies
724 Views
SALAAM WAKUU. Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi Afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani. Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako...
16 Reactions
100 Replies
4K Views
Good morning ladies and gentlemen, Jana nilipata nafasi ya kuangalia boli la AFL. Sina mengi ya kusema maana nimepumzika kuongelea sana kuhusu mambo ya mpira huku mitandaoni ila nina maswali...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa muda Mrefu mimi binafsi na wasomi wengine tumejitahidi humu na kwingineko kuelekeza na kuonya kwamba, hakuna haja yoyote kwa Wanasiasa kujichomeka kwenye soka na kuvitumia Vilabu vya soka...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Vikongwe wa msimbazi waendelee kupiga cha ndimu keshokutwa,kwani super league ni kiherehere chao tu ndicho kilichowapeleka huko na wamechezeshewa kisago waanze ligi mapema sana yanga hatutoki kileleni
3 Reactions
11 Replies
969 Views
Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta Enyi wana simba njoeni mumuone kaka...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu, Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini. Mamelodi waibuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Derby gan kila mnapocheza iwe uwanja wa Tandika mabatini, iwe uwanja wa Bandari, iwe uwanja wa kinesi, iwe uwanja wa mkwakwani, iwe uwanja wa mkapa, iwe uwanja wenu wenyewe wa chamazi, iwe uwanja...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
"Ila Yanga wachawi dadeki zenu hakuna aliyeondoka kwa amani akapata mafanikio, Nabi kule mapema kaondoshwa club bingwa huku Caze mechi 6 zote chali [emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa punguzeni...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao! Kufuzu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom