Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tumechoka na haya mambo ya kufa kiume, timu ambayo haiwezi kutunza goli for 15min , strategy za kocha ni mbovu. Haiwezekani goli muhimu kama lile linarudishwa in five minutes , what is wrong na...
29 Reactions
94 Replies
4K Views
Wote tulisikia na tulielewa!! Kuwa mama amewaahidi simba sh 10M kwa kila goli watakalofunga!! Hayo maelezo ya ziada hakuyasema na hatukuyasikia (kuwa simba mpaka ishinde, kama angekuwa amesema...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Sasa hebu fikiria hadi Baba levo naye anachambua mpira akiwa na Oscar Oscar na Ed Kumwembe, Oscar wakati tunaangalia fainal ya Simba vs Stella Abidjan hakuwepo mjini, alikuwa mdogo akihangaika na...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua...
2 Reactions
8 Replies
903 Views
Kinachowauma Mashabiki wa Simba ni kwamba Ngushi na Johora Wana [emoji966] medali ya CAF halafu chama Ana medali ya ngao ya jamii kweli ma gap hayataisha[emoji28][emoji120] Ukitaka Kujuaa Ugumu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Miezi mitatu tangu Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amruhusu David De Gea kuondoka inadaiwa kuna uwezekano wa kipa huyo kurejea klabuni hapo ikiwa Andre Onana ataondoka kwenda kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii mechi ilivyokuwa ni kama ni maigizo kwa namna ilivyokuwa timu zinacheza. 1) Al Ahly wameonesha wana accuracy ndogo sana kwenye final third ya mpinzani. Mechi zote mbili, wachezaji wa Al Ahly...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Salamu hazina maana tunazeeshana bure. Ukiangalia mechi ya kwanza hapa kwa Mkapa wenyewe mtayaamini maneno yangu, Simba walikuwa vizuri sana, Waarabu wapo hovyo, upangaji wa kikosi wa Robertinho...
3 Reactions
6 Replies
868 Views
Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu...
7 Reactions
8 Replies
860 Views
Je ni salama kwa wachezaji ? ukiangalia uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa una taa karibia 200 na ushee kwa ajili ya gemu za usiku ila kuna hivi viwanja vingine vina taa hata 5 hazifiki na mpira...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo. Kil ikitokea faul alikuwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu Hivyo basi Kwa uchambuzi...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza "Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine. Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA. By Lackson Tungaraza ♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza. Jina lake ni HARRY MAGUIRE na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kudondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi ya Wydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu...
0 Reactions
10 Replies
751 Views
Jeshi la Polisi Mkoa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha Mwezi Septemba 01.2023 hadi Oktoba 25,2023 limeendesha Opereseheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Back
Top Bottom