Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yao ni mchezaji aliyekamilika Kwa uzoefu wangu YAO. = Ayubu+ kapombe + zimbwe + kanoute+ kibu + Chama + na mshambuliaji mmoja baleke Ukitaka kutengenezewa magoli kutokea pembeni basi jibu...
2 Reactions
9 Replies
569 Views
Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu...
3 Reactions
185 Replies
11K Views
Salaam Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia...
14 Reactions
92 Replies
11K Views
Imezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Kitendo cha timu ya Azam Fc kugomea mechi ya kirafiki kabla ya kuisha kisa maamuzi mabovu ya mwamuzi kinaonesha mlivyo na utoto. Lengo kuu la friendly match ni kupima mbinu na utimamu wa mwili...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Match Day Yanga SC vs Singida FG NBC Premier League Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522] Time: 1815hours Updates... Saa 12:04 Jioni Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa...
8 Reactions
473 Replies
29K Views
Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly. MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mchezaji wa Kimataifa wa Congo DRC na Timu ya Soka ya Yanga Fiston Mayele ambaye anahusishwa na Vilabu Vingi barani Afrika wakitaka huduma yake na sasa ni Pyramid ya Misri ambao wajitokeza na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' || Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano. Kwa klabu za Tanzania Simba...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata...
7 Reactions
81 Replies
5K Views
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini...
3 Reactions
70 Replies
60K Views
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini. "Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu...
20 Reactions
93 Replies
3K Views
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya...
41 Reactions
91 Replies
6K Views
Back
Top Bottom