Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tumekulia timing sasa umeanza kujaa, figisu zako za kutompenda na kumuhujumu kocha Kaze wote tunajua, na tunajua bado wewe ni Simba, kwanini usituachie klabu yetu? Ondoka bhana Yanga tunawatu...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League kuendelea kupigwa leo Mei 11, 2022 ambapo Simba SC wanapambana na Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Mchezo unatarajiwa kuwa mkali hasa...
14 Reactions
220 Replies
11K Views
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki...
16 Reactions
81 Replies
5K Views
Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake. Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa...
2 Reactions
6 Replies
750 Views
Habari zinazoripotiwa na vyombo mbalimbali wakati huu zinadai yule mshambuliaji hatari wa Borrusia Dortmund ya Ujerumani, Erling Braut Haaland, ametua rasmi Man City. Amesaini mkataba...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Naushukuru sana Uongozi wa Simba SC kwa Kuchukua Maamuzi haya magumu dhidi yake Bernard Morrison na nimedokezwa kuwa upo uwezekano pia Mkataba wake ukavunjwa na akaachwa rasmi kwani Uongozi wa...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison. Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
"Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba...
9 Reactions
49 Replies
7K Views
Kwa Mkakati ulioko Simba SC anaweza akasababisha Maafa Yanga SC kwa Kuukosa Ubingwa waliodhania ni Wao. Mwambieni Mayele amlipe Mganga wake.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nipo Uwanja wa Mkapa muda huu nikiombea Simba wapoteze mchezo wao wa leo Mimi Ni mpenzi wa timu ya Wananchi na muda huu nipo kwa Mkapa kushuhudia mechi ya bingwa aliyemaliza Muda wake vs Kagera...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Kocha aliyeshindwa kuinoa Manchester united mnoshki ole ameitwa kwenye ligi hiyo pendwa ulimwenguni. Timu mojawapo iliyotajwa kutaka huduma yake ni Burnley ya nchini humo. Vile vile baadhi ya...
3 Reactions
5 Replies
770 Views
Nashindwa kuelewa Europa League (Uefa ndogo) inakuwaje nusu fainali ina michezo mi4 badala ya miwili? Kwa maana hii fainali wanaingia wangapi? Na bingwa anakuja kupatikana vipi? Sent using...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja ambapo Mbeya City walikuwa wakiwakaribisha Azam FC kwenye Uwanja wa Sokoine. Mchezo umekwisha kwa Mbeya City...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Siku hizi nafasi hii imekuwa msaada mkubwa kwa walinzi na nafasi yao ni kucheza kwa kuwasaidia walinzi na pia wakiwa na nafasi ya kutengeneza mashambulizi. Viungo kama Claude Makelele, Patrik...
5 Reactions
59 Replies
10K Views
Wengi hawataamini lakini ukweli ndio huu, Hali ya kukosa mabao kwa Yanga leo imeingia katika mechi dhidi ya Tanzania Prison, kabla ya hapo zimekuwepo mechi kadhaa ambapo Yanga mbali ya kucheza...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo. Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi. Tusaidieni...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji Mara ni wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Redirect
Leo Azam wamekufa tena bao 2 - 1 kutoka kwa Mbeya City Kiukweli Azam sasa hivi sio tena timu ya kuiongelea, timu imefanya uwekezaji mkubwa, ina kila kitu, ina uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom