Ole Gunner Solkjaer agombewa na timu za Uingereza

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
602
Kocha aliyeshindwa kuinoa Manchester united mnoshki ole ameitwa kwenye ligi hiyo pendwa ulimwenguni. Timu mojawapo iliyotajwa kutaka huduma yake ni Burnley ya nchini humo. Vile vile baadhi ya timu za Hispania ikiwa ni pamoja na Valencia zinamuhitaji mnorway huyo awape huduma.inasadikika kwamba timu itakayomnasa mkongwe huyo aliyekipiga Man utd akistaafia Kwa wababe hao atafuatana na msaidiz wake Michael Carrick.

Wachambhz wa soka wanadai ikiwa wakali hawo wawili wakikutana watawezankuhamishia utamu wa soka iliyokuwa ikipigwa pale OT Kwa kuwa wote ni wahitimu makini wa falsafa ya kocha mkongwe Alex Ferguson.

Mtaalamu wa soka anasema....' Kwa kuwa united inaajiri wageni hawatamudu mbinu walizonazo wakali hao kwani watakachobadili ni usasa wa Mpira hasa ule inaonekana kwa wababe wao Man City na Liverpool, itakuwa kuhamisha mbinu, huwezi ukamfundisha Mpira fundi..wewe unasimamia nidhamu tu...mbinu akiyotumia kocha wao Alex Ferguson. Hawa watafanimiwa. Watakuwa tishio. Alidai mchambuz huyo.
 
Kocha aliyeshindwa kuinoa Manchester united mnoshki ole ameitwa kwenye ligi hiyo pendwa ulimwenguni. Timu mojawapo iliyotajwa kutaka huduma yake ni Burnley ya nchini humo...
Huyo mchambuzi ni wa wapi..?

Isijekuwa hawa wachambuzi wenu maandazi wa mchongo na bahasha.
 
Man u wangebaki na Masai wasingekutana na aibu inayowapata.

Kweli fukuza mkeo wa Kwanza halafu oa mwingine baada ya muda utaanza kumkumbuka.

Masai alikuwa anawapeleka man u vzr, ndiyo ivo presha ya matokeo ilimwondoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom