Ukweli kuhusu Bernard Morrison ni upi?

Mawawa

Senior Member
May 2, 2020
130
250
Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison.

Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.

Kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni kuwa, mchezaji huyo ameshasaini mkataba wa awali na Simba sc.

Taarifa zingine zinadai kuwa mchezaji huyo anamkataba halali wa miaka miwili na Yanga sc.

Maswali ya kujiuliza, kwanini mpaka sasa mchezaji huyo ajajiunga na timu ili hali hana matatizo yeyote ya kiafya? Ni kweli amesaini Simba? Au amegoma makusudi kushinikiza madai yake dhidi ya timu hiyo?

Tusubiri sisi kama wadau michezo muda si mrefu tutajua, mbivu ni zipi,na mbichi ni zipi.

george_mganga_🇹🇿._on_Instagram:_“Mpaka_sasa_uongozi_wa_Yanga_haujaweka_uwazi_wowote_kuhusiana_...jpg
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,425
2,000
KUPATAVITUKO KAMA HIVI ANDIKAAA

MOORIIIISON KWENDA NAMBA 15577
Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison.

Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.

Kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni kuwa, mchezaji huyo ameshasaini mkataba wa awali na Simba sc.

Taarifa zingine zinadai kuwa mchezaji huyo anamkataba halali wa miaka miwili na Yanga sc.

Maswali ya kujiuliza, kwanini mpaka sasa mchezaji huyo ajajiunga na timu ili hali hana matatizo yeyote ya kiafya? Ni kweli amesaini Simba? Au amegoma makusudi kushinikiza madai yake dhidi ya timu hiyo?

Tusubiri sisi kama wadau michezo muda si mrefu tutajua, mbivu ni zipi,na mbichi ni zipi.

View attachment 1480196
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,576
2,000
Simba wanakosea kununua wachezaji wanaotakiwa na Yanga au wale wa Yanga
 
papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
3,744
2,000
Yaani mikia imempa dola elfu5 tena kwa kumrazimisha alafu wanataka asaini kwao kwa nguvu eti la sivyo watambuluza mahakaman, duuu ni zaidi ya uharamia
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
471
500
Tunasubiri waende FIFA, CEO SENZO keshaongea nendeni huko FIFA ili muumbuliwe vizuri, acheni taarifa za kutunga ili kumkweza mchezaji!!
Mlianza shishimbi kumkweza leo huyo jamaa kawazimia simu sababu ya mishahara mnaleta uhuni huku!!
Nendeni FIFA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom