Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Tanzania Prisons imepewa ushindi wa alama tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike February 11, 2020 baada ya timu ya Ruvu Shooting ambao ni wenyeji wa mchezo kushindwa kuleta...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo Sasa hivi ni upepo unasomwa...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Mchezaji Bernad Morrison inasemekana amerudi tena Yanga kuendelea na kazi yake ya uwakili msomi, hata hivyo pamoja na uzuri wake dimbani bado mchezaji huyo ni liability na sio asset. Yanga wakae...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
inawezekana vp manispaaa ina gari moja tu la wagonjwa... inakosa ambulesi katika mechi muhimu kama hii Au ni hujuma tu ili mbeya kwanza wapate ponti za bure Mechi kuhairishwa kwa sababu ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu. Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge...
1 Reactions
15 Replies
861 Views
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata... Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga...
13 Reactions
59 Replies
4K Views
Kiwango kinachoonyeshwa na Kibu Denis kimewasuta wengi waliodai kuwa hakuwa na hadhi ya kuchezea Simba, jamaa ana nguvu, akikupa msuli ana turn right au left, kama hujala chakula vzr utamkuta...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea TAMMY ABRAHAM jana alifungia timu yake ya AS ROMA goli pekee lililoipeleka klabu hiyo fainali ya #UECL katika ushindi wa jumla wa magoli 2-1 dhidi ya LEICESTER...
6 Reactions
11 Replies
853 Views
Ukiangalia performance ya Marefa wa Ligi Kuu ya Uingereza pamoja na kuwepo kwa VAR bado wana maamuzi dhaifu sana. Waamuzi hawa wamelalamikiwa mara kwa mara lakini hawabadiliki. Tarehe 12 Mei 2022...
0 Reactions
9 Replies
961 Views
Yanga wametoka sare Leo na Prisons na kuwafanya mashabiki wake kuwa na taharuki, to me, Yanga bado wana nafasi ya kuwa mabingwa wa nchi hii kutokana na mechi ngumu alizokuwa nazo Simba, Simba na...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya Yanga kuwatia presha mashabiki wake kwa kutoka suluhu na wajelajela, mikakati imewekwa na Yanga kwa kushirikiana na viongozi na wachezaji wa zamani wa Kagera waliochezea Yanga kuhakikisha...
1 Reactions
11 Replies
920 Views
Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaSimba tunaendelea kutembea mwendo wa Ngiri meno nje kuhusu hawa Vijana, Pape Ousmane Sakho na Sadio Kanoute, kwa kadri wanavyozidi kuimarika na kuwa hatari sana Uwanjani, hongera sana...
34 Reactions
65 Replies
7K Views
Tumekulia timing sasa umeanza kujaa, figisu zako za kutompenda na kumuhujumu kocha Kaze wote tunajua, na tunajua bado wewe ni Simba, kwanini usituachie klabu yetu? Ondoka bhana Yanga tunawatu...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League kuendelea kupigwa leo Mei 11, 2022 ambapo Simba SC wanapambana na Kagera Sugar kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Mchezo unatarajiwa kuwa mkali hasa...
14 Reactions
220 Replies
11K Views
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki...
16 Reactions
81 Replies
5K Views
Back
Top Bottom