Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili...
5 Reactions
2 Replies
749 Views
Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier...
1 Reactions
8 Replies
902 Views
AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Akiwa kwenye tamasha la Wasafi jana pale Arusha, Haji Manara ameahidi siku si nyingi ataita Press kwa ajili ya kuwaaga watu wa mpira. Amekaririwa akiongea laivu kuwa mpira umemtengezea sana...
19 Reactions
42 Replies
6K Views
Siku ya jana Azam imecheza dhidi ya Namungo, Fei alikuwemo kwenye kikosi. Yanga dhidi ya Singida, Mudathir alikuwemo kwenye kikosi. Mudathir na Fei walipewq adhabu ya kufungiwa mechi tatu baada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo. Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 “Baada ya kuingia mkataba na NIC, uongozi wa Yanga uliunda kamati maalum ya kufanya Tathmini ya mechi zote za mwezi husika na kutupatia majina matatu ya wachezaji watakaowania tuzo ya...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
MANJI AUNGURUMA KUHUSU MKATABA WA AZAM TV LIGI KUU, ASEMA YANGA... IMEWEKWA JULAI 29, 2013 SAA 7:33 MCHANA YAH: URUSHWAJI KATIKA TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA. HIVI karibuni, Tanzania Football...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
[emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu...
10 Reactions
1K Replies
66K Views
Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...! Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia? Akaisemee...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
1. Aziz K- 6 2. Max - 5 3. Baleke- 5
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
12 Reactions
81 Replies
7K Views
Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu? Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union (wanadai kabadilishiwa majukumu), sasa hawa Azam shida yao iko wapi?
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi. Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom