Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jua wajua kama hujui ngoja nikwambie Simba walipiga gemu kahama na time yadaraja LA pill kupata fedha ya kujikimu!!kama ni siri hii ni kweli hali simba kifedha so shwari tena ! Baadhi ya wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Known as Papilo and outstanding for his iconic slow drag on the ball which proved detrimental to opponents, Kanu Nwankwo was feared on the pitch, despite his sluggishness. In a poll by fans of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Arsene Wenger has confirmed Thierry Henry has taken up a coaching role at Arsenal within the club's academy. Wenger revealed late last year that the club's all-time top scorer could take up a...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Floyd Mayweather's fight with Manny Pacquiao 'is off' Pacquiao and Mayweather were set to meet on 13 March Floyd Mayweather Jr's planned bout with Manny Pacquiao is off because of a...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwa swal kuna sababu yoyote ya mashabik kulalamika juu ya wachezaj wenye majna makubwa katka medani ya soka kukosa penalt au n ushabik usio na tija
0 Reactions
0 Replies
804 Views
yani nanusa harufu ya rushwa wazi wazi, japo sina ushahidi. Babu Sepp Blater wala hana haya atakuwa kavuta milions kadhaa, wajumbe wa bodi ya FIFA nao watakuwa wanakenua tu akaunti zao zitakuwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
15mins to go
0 Reactions
27 Replies
3K Views
DAVID BURHAN ASIMAMISHWA NA KUONDOLEWA KIKOSINI. Halmashauri ya jiji la Mbeya ambayo ndio mmiliki wa timu ya Mbeya City football Club ilikutana na bodi ya Michezo ya jiji inayosimamia uendeshaji...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani ndondo huku, Kiwanja kimejaa watu sana wengine mpaka kwenye ukuta wa waya juu. Ila mpira huu hakuna aliyevaa Viatu zaid ya soksi. Cheki picture hapo chini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika michezo 300 ya la liga ana magoli 269 ndio top scorrer wa muda wote katika hiyo michezo ana ongoza kwa kutoa pasi za magoli kwa muda wote tangu dunia iumbwe huko Hispania mipasi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuna watu wanaingia kwa kuvamia katika uongozi wa soka nchini katika vilabu vyetu lakini hawana upeo wala hawataki kuuliza wakongwe mfano halisi ni hawa viongozi wa Simba SC...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mmoja wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la Rajabu Jota alikamatwa na mashabiki wa Stand United akimwaga dawa katika mlango wa kutokea wachezaji wa timu ya Stand United. Kitendo hicho...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania Beach Soccer imeichapa timu ya Taifa Kenya mabao 7-6 katika mchezo uliofanyika jioni ya leo Klabu ya Escape One Msasani Dar Es salaam. Kwa kuitoa Kenya sasa Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
​ Timu za African Sports ya Tanga na Mwadui FC ya Shinyanga zinatrajiwa kucheza mchezo wa fainali ya kusaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) siku ya jumapili katika Uwanja wa Taifa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni baada ya kutoa suluhu ya bila magoli na Tanzania Prison Leo Chamaz Complex,,Ni swala la muda tu timu ya wananchi Yanga kutangazwa kuwa mabingwa..
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo (Jumamosi) katika viwanja vitatu tofauti, Mgambo Shooting watakua wenyeji wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Ndanda FC ya Mtwara...
2 Reactions
59 Replies
8K Views
mechi ya hiyo leo ni fujo tupu namtahadharisha mwamuzi wa leo achezeshe haki.fununu toka mbeya ni kampeni mkoa mzima eti lazima yanga afungwe na kuna habari juzi ktk mazoezi tambwe alizimia mwa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Jana clouds fm kwenye kipindi cha sports xtra nilisikia kama wanamwongelea mchezaji wa zamani christopher alex anaumwa na anahitaji msaada. Ni huyu alex aliyecheza simba wakati flani? Anaumwa nini...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakiwa kwenye Treni washabiki lukuki wa Chelsea wamemsukuma nje mtu weusi mara kadhaa na kumzuia asiingie ndani. Hayo yamefanyika Uingereza huku washabiki hao wakiimba kwa nguvu nyimbo za kukiri...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
José Mourinho believes Chelsea must do everything they can to punish the supporters who racially abused a French man on the Paris Métro this week, saying he does not know if a cloud still hangs...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom