Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara.

Chanzo: EFM Sports Headquarters leo

Sijashangaa sana kuona karibia 75% ya Viongozi Waandamizi kabisa wa Yanga SC wakiongozwa na Rafiki yangu wa karibu Mwenyekiti wao Dkt. Mshindo Msolla na wana Yanga SC wenye Akili Kubwa wamekasirishwa na Kitendo cha GSM kumnunua Haji Manara kuja kufanya Kazi Yanga SC.

Nauona mwisho mbaya sana wa Haji Manara na GSM ndani ya Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu nakuja na Exclusive Story ya alichokisema Mhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz kwa Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC kuhusiana na ujio wa Haji Manara.

Kwani japo nje akina Nugaz na Bumbuli wanaonekana na Furaha ukweli ni kwamba Mioyoni mwao hali ni tofauti na Kimeshanuka huko.
 
IMG_4503.jpg

Wewe siyo gentamicin kweli
 
"Corporate work different from the streets"

GSM wanamtumia haji katika maswala mazima ya marketing na branding,husuani katika jezi.

Haji yupo yanga kwa kivuli cha GSM,hata salary analipwa na GSM.

Ukijua haji kwanini amechukuliwa na GSM hutopata hata shida ndugu yangu.

Mwishowe simba na yanga ni taasisi kubwa,watu watakufa na wataziacha.
 
Kwa hiyo kwenye zile press zake we umeona akiongelea magodoro, au alivyotangazwa alitambulishwa kama mkuza brand wa GSM?
Mbona hamtaki kukubali kama yule mfanyakazi wa yanga?
Kweli kabisa yanga wote hawana akili isipokuwa kikwete na Sunday manara,
 
Back
Top Bottom