Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema hakuna wa kuizuia Simba kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, lakini akajilipua kwa kutaja mechi nne za kuitoa Yanga...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye...
1 Reactions
7 Replies
950 Views
Mimi sina maneno mengi. Huyu kijana haitaji uchambuzi mreeeefu,ni kitendo cha kukaa meza moja na timu na menejimenti yake basi. Kwani yeye hataki kushiriki fainali za CAF Champions mwakani?
3 Reactions
9 Replies
997 Views
Yale maajabu ya mpira wetu wa bongo yameendelea baada ya mechi ya NBC Premier League, kati ya Namungo na Mbeya Kwanza, kuahirishwa sababu ikiwa ni ambulance kuchelewa kurudi uwanjani. Uongozi wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Redirect
Timu kongwe ya Ashanti Gold imeshushwa daraja kwa kupanga matokeo na kampuni moja ya betting. Ashanti walipanga washinde 5:1 ila kuna beki wa timu pinzani mwenye roho mbaya alishtukia mchezo huo...
4 Reactions
Replies
Views
Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa? Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana? Huu Mpira walioucheza...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Nimekuwa naamini kama ni mchezaji nzuri kwenye team na anahitajika mno kwa local players, amekuwa akifanya kila jitihada na kudeliver kile mchezaji anapaswa kwa team yake. Ukata wa MAGOLI...
7 Reactions
11 Replies
786 Views
Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ingelikua utajiri unaupata kwa kulialia, kulalamika na kutaka huruma basi Afrika, hususani hapa Bongo/Afrika ingeongoza kwa utajiri kuliko taifa/bara lolote duniani. Point yangu ni hiii👇🏽 Kwa...
2 Reactions
7 Replies
670 Views
  • Redirect
Leo imetusuliwa ngoja tusubiri maelezo zaidi
3 Reactions
Replies
Views
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja...
3 Reactions
247 Replies
11K Views
Mashabiki wa dodoma jiji tujuane mapema [emoji5][emoji5]
1 Reactions
7 Replies
534 Views
Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ashika nafasi ya kwanza katika Mbio za Generali Geneve Marathon ( 2:10:39) huko Geneva Switzerland Jumapili 15 Mei 2022 katika kilomita 42, ambapo amewashinda...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom