Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote. Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!! Ameishia na keshaanza...
3 Reactions
5 Replies
644 Views
Vuguvugu na patashika na mshike mshike ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League kuendelea kupigwa leo Mei 18, 2022 ambapo Wana lamba lamba Azam FC wanamkaribisha Mnyama Mkali Mwituni Simba SC...
10 Reactions
345 Replies
18K Views
  • Redirect
Nimewaza na kuja na wazo linalohusu kuweka taarifa za wachezaji wa Kitanzania wa michezo mbalimbali ikiwemo futiboli-ligi ya bongo katika mtandao wa Wikipedia na mitandao mingine ya soka kama vile...
1 Reactions
Replies
Views
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale Clouds TV & FM. Aliyewahi kuwa kiungo wa Simba, Azam na Taifa Stars, Amri Kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya Yanga na Azam, wao Azam...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
2 Reactions
5 Replies
698 Views
  • Redirect
Upo mkakati wa kuhakikisha Cloutus Chota Chama anapewa kiasi chake cha pesa anachoidai Simba kutokana na Kuvunja mkataba wake na Berkane. Ikumbukwe kuwa Simba SC walimpanga Chama kutumia pesa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Anahitaji ku suppotiwa kwa kila namna. Hawa mabeberu wanalazimisha watu wote wakumbatie ushoga. --- A group fighting homophobia in football has called on the French league and Paris...
7 Reactions
Replies
Views
Habari za jioni wadau, Mungu ni mwema sana kwa kutupa nafasi nyingine ya kuiona siku ya leo iliyosindikizwa na mechi ya kibabe kati ya simba na Azam mchezo ambao umemalizika kwa sare na wote...
0 Reactions
2 Replies
623 Views
Nimekuwa nasikia tambo na majigambo toka kwa viongozi, makocha na hata mashabiki wa Simba juu ya uhakika walionao kubeba ubingwa wa NBC premier league msimu huu. Lakini mimi kwa uelewa wangu ni...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kufahamishwa tu ili nijiridhishe kwani ananogesha vipindi kama walivo akina Mkude.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpira umekua na vituko vya ajabu sana hususani hapa kwetu Tanzania,eti baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu mchezaji Fiston Mayele limetokea kundi kubwa sana la watu waliotokea...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League imeendelea tena leo Mei 17, 2020 ambapo Mbeya kwanza FC walikuwa wakiwakaribisha Geita Gold FC kwenye Dimba la Maji Maji mkoani Songea...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
1 Reactions
3 Replies
818 Views
Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia... Yanga tumejipanga hasa msimu huu...
3 Reactions
13 Replies
841 Views
Ni katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane, Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa namshabikia sana Karia, niliona ana mwelekeo mzuri sana wa kusaidia kuinua soka letu mbele, lakini baada ya kufanya tathmini kwa kuangalia demokrasia naona Karia anajenga chuki...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Katika dunia hii ya technologia iliyokomaa watu wanapunguza muda wa kwenda kwenye ma-ofisi mguu kwq mguu. Club ya Yanga kama kweli wanataka kuongeza wigo wa wanachama wao.waanzishe mfumo wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya USD 10,000– (Takriban Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ‘tambiko hatarishi’ katika mchezo dhidi ya Orlando...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom