Simba Sc mnasubiri nini "kukaa kama kamati" na George Mpole

Simba Sc mnasubiri nini "kukaa kama kamati" na George Mpole

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,426
Reaction score
139,466
Mimi sina maneno mengi. Huyu kijana haitaji uchambuzi mreeeefu,ni kitendo cha kukaa meza moja na timu na menejimenti yake basi. Kwani yeye hataki kushiriki fainali za CAF Champions mwakani?
 
Mimi sina maneno mengi. Huyu kijana haitaji uchambuzi mreeeefu,ni kitendo cha kukaa meza moja na timu na menejimenti yake basi. Kwani yeye hataki kushiriki fainali za CAF Champions mwakani?
Mpole na Ilamfya kuna utofauti?
 
kwa hiyo unashaurije mkuu
Kuna nafasi za wale waliotolewa kwa mkopo, anaweza akachukuliwa bila kumuacha Bocco. Lazima mtambue nafasi za wachezaji wa nje zina ukomo, na wachezaji wazuri wa ndani ndio hawa hawa akina Bocco
 
Back
Top Bottom