Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukweli usemwe hakuna haja ya kuficha ficha, kwa Sasa viongozi wa Simba sc wanaumiza vichwa/kukuna vichwa ni jinsi gani Mashabiki watapatikana katika mchezo wao na Wydad Casablanca. Nikitazama...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa...
2 Reactions
3 Replies
503 Views
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original. Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Jana TFF wametangaza ujio wa video assistant referee ( VAR) hapa nchini Tanzania itakayotumika kwenye Ligue yetu ....... ni jambo zuri ila Baada ya kufikiria sana nmegundua mambo haya 1. Kuanza...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana...
2 Reactions
3 Replies
997 Views
Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naam! NALIA NGWENA mpenda football Tena mpira mzuri uliojaa talanta ndani yake hakika nimejikuta nawaza na kuwazua kuhusu hizi talanta mbili ambazo umri umeenda lakini ukiwatazama kwenye Pitch...
3 Reactions
7 Replies
869 Views
Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga...
13 Reactions
425 Replies
29K Views
Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM. Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za...
1 Reactions
0 Replies
491 Views
ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
879 Views
Maisha yanakwenda Kasi sana Kuna kipindi waandishi wa habari na wachambuzi wa Mchongo, walitumika vibaya sana kuwatoa kwenye mchezo wachezaji wa Yanga Sc akiwemo Aziz K. Nakumbuka msimu uliopita...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Nimemfuatilia kwa umakini mkubwa winga huyu wa kikongo kwa msimu huu mpaka sasa, na baada ya kumtazama katika mechi ya Leo dhidi ya mtibwa ni wazi jesus moloko hana kitu kingine anachoweza kutoa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamaa kaanza kuwafunga midomo wachambuzi uchwara na wapiga ramli chonganishi kulikoni? Mbona mpo kimya au hamjaona shughuli yake?
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…