Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho. Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda...
0 Reactions
8 Replies
698 Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania mashabiki na wapenzi wote wa mpira Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla. Kama kuna sehemu tunafeli kama taifa ni sehemu ya wachambuzi...
4 Reactions
12 Replies
867 Views
Kwa kiwango cha Yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Shaaban Chilunda yuko benchi na Phiri hatupo ktk list ya wanaoanza au kuwepo benchi but endapo atapewa nafasi leo, utakuwa mwanzo wa Chilunda kuaminika kwa Benchika. Chilunda namuamini sana, hata...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil. Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais wa TFF ametoka adharani na kusema fedha walizoshinda watoto under 15 zinakwenda kujenga miundombinu ya michezo. Amesema suala hilo lina baraka za CAF. Tunaomba wizara itusaidie, hawa watoto...
14 Reactions
64 Replies
3K Views
Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!! Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma. Yaani msimu mzima...
2 Reactions
10 Replies
930 Views
Tunakwenda uwanjani kwa sababu yako Benchika, sio kwa sababu ya Ahmed Ally na viongozi wake. Tunakuja uwanjani kuishangilia Simba coz umetushawishi sana, soka letu limebadillika, tunakuombea kwa...
2 Reactions
6 Replies
405 Views
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani hata sijui niielezee vipi mnielewe. Watu wazima kabisa, nchi moja wanakuwa na chuki zisizoelezeka ambazo haijulikani zimeanzia wapi na zitaishia wapi. Yaani wa Yanga wanaichukia Simba, na wa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe...
2 Reactions
7 Replies
845 Views
Benchika, nakusalimu na nakupongeza kwa kuibadilisha Simba, kesho ni final mzee wangu, iwe jua au mvua lazima tusimamishe nchi, najua Wydad nao wanachukulia hiyo ni final kwao, watavuruga sana...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
OFFICIAL[emoji837]: Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far: UEFA: [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Chelsea [emoji633]Real Madrid [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Man. City ASIAFC: [emoji1210]Al Hilal...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na...
2 Reactions
13 Replies
689 Views
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom