NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,280
- 12,774
Ukweli usemwe hakuna haja ya kuficha ficha, kwa Sasa viongozi wa Simba sc wanaumiza vichwa/kukuna vichwa ni jinsi gani Mashabiki watapatikana katika mchezo wao na Wydad Casablanca.
Nikitazama mchezo wa Simba sc vs Kagera Sugar FC mashabiki walikua ni wa kuunga unga tofauti kabisa na mwanzo ilivyokua kwa mashabiki kujaa katika uwanja, na hiyo inatokana na sababu zifuatazo.
(1) Mechi ngumu dhidi ya Wydad Casablanca, mashabiki wanaona kabisa Kama timu ilipoteza mbele ya Asec kwa kudondosha point mbili je kwa mwarabu mwenye hasira itakuaje??
(2)Chuki ya mashabiki na viongozi wa klabu ya Simba sc, kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo mashabiki walishinikiza baadhi ya viongozi waachie ngazi lakini haijawa hivyo, hii nayo imeleta mgomo baridi kwa mashabiki kuja uwanjani.
Kiingilio kwa mzunguko ni shilingi 3000/=, hamasa ya Ahmedy Ally kumleta misondo tusitegemee uwanja kujaa Kama ilivyokua mwanzo kipindi wanasimba wanafuraha na timu Yao.
Kwa mwendo huo Simba sc wanahitaji sana mashabiki/wanauhaba wa mashabiki na ukiangalia siku hiyo ni siku ya kazi Basi ni Changamoto kwa viongozi wa Simba sc.
SIKU HIYO KAMA UNA SH 500, 1000 USISITE KUFIKA UWANJANI TIKETI UTAZIKUTA MLANGONI.