Jesus Moloko afukuzwe Yanga sc

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,875
Nimemfuatilia kwa umakini mkubwa winga huyu wa kikongo kwa msimu huu mpaka sasa, na baada ya kumtazama katika mechi ya Leo dhidi ya mtibwa ni wazi jesus moloko hana kitu kingine anachoweza kutoa kama msaada kwa timu yetu, ni winga wa kizamani mwenye uwezo mdogo wa kufanya maamuzi, na hata anapotakiwa kuisukuma timu mbele anashindwa, kwa kifupi muda wake ndani ya Yanga sc umefikia tamati na nitashangaa sana ikiwa mbabaishaji huyu ataendelea kuwa miongoni mwa wachezaji wetu baada ya DIRISHA hili dogo la usajili
 
Picha kwa tusiomfahamu
 
Hakuna kocha wa Kisasa atampa nafasi Moloko.
 
Kwanza kwa uchezaji wa moloko kuna wachezaji kibao wa kibongo wenye uwezo kama wake au zaid, moloko winga wa kawaida sana
 
Sio kwa chuki na gamond ndio anapaswa kuamua
Binafsi jamaa namuona hafai na yanga tayari wanasajili winger kutoka kongo anaitwa BOLA
Tunataka marekebisho nafas yake, kisha kocha kama inamfaa msonda au konkon mmoja apishe ili tusajili striker mzuri kuliko wao
 
Back
Top Bottom