Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

SSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ? Simba atamla Galaxy ? Simba atamla Asec kwao au ku draw . Maswali yote hayana majibu SSC amejisogeza but bado...
0 Reactions
15 Replies
913 Views
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM! Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Kama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi...
24 Reactions
102 Replies
12K Views
Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania. Mume kamaliza...
5 Reactions
9 Replies
835 Views
Ni takriban miezi miwili tangu kuzinduliwa wa michuano ya African Football League (AFL) ambapo mabango ya matangazo ya umeme yalianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Lakini katika hali ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mzee Dalali ameomba wazee waruhusiwe kwenda pale kambini kuondoa upumbavu wote uliowekwa ambao unasababisha wachezaji waonekane hawana uwezo, wazito na hawajui mpira, wachezaji kama Chama, Bocco...
0 Reactions
8 Replies
633 Views
Sidhani kama Kuna kazi rahisi na nyepesi kufanya kama hii kua mchambuzi WA michezo hapa Tanzania, Yani unapata hela kwenye maredio kiurahisi sana! Ishu kubwa uweze kua mnafiki tu, unaenda na...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari Watani (Simba Sc). Nawatakia Kila Jema Juu Ya Mchezo Wenu Wa Leg 2 Dhidi Ya Wydad Casablanca Utakaochezwa Siku Ya Leo Jumanne Uwanjani Wa Benjamin Mkapa. Mkipoteza Mchezo Huu Ni Sawa Na...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari...
0 Reactions
10 Replies
728 Views
Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyenginvyo bado itakua mupo ktk nafas mbaya.
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Huyu kocha leo nimemvulia kofia, kumchezesha Duchu ambaye tangu asajiliwe hakucheza mchezo wowote halafu leo unamuingiza akashikilie bomba ilikuwa jambo la hatari sana. Kumuingiza kiungo Abdallah...
17 Reactions
46 Replies
5K Views
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba 2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo. 3.Inonga Baka auzwe...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho. Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi siyo mtabiri ila baadaye Baada ya mechi ya wydad na Simba .....washabiki watakuwa wakiimba hatumtaki benchika [emoji23][emoji23][emoji23]......... hatumtaki mangungu Je unadhani hizi vurugu...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Nilimuona kijana mmoja(Ahmedy Ally) kwenye interview akisema kuwa "Samuel Etoo alitupigia simu na kutusihi kuwa tusimuache Esomba Onana" Je Kuna ukweli wowote au Ahmedy Ally alitaka kuthibisha...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Kiukweli Yanga wapo kwenye peak , sio kwa sababu ameshinda tu bali hata mpira unavyochezwa unaona kabisa kuna flow na chemistry nzuri baina ya wachezaji. Kuna nafasi kubwa Yanga akatoboa makundi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom