Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeupenda ubunifu wao, kwa mbali namuona Inonga na jezi ya Unyamani.
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said kupitia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na radio Clouds hapo jana alieleza namna klabu ya Yanga inavyojiandaa kupokea wawekezaji baada ya mabadiliko ya...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Sina tatizo hata kidogo na walioteuliwa kwenye kitu kinachoitwa Kamati ya Hamasa ya Timu ya Taifa. Naunga mkono kabisa uwepo wa kitu kinachoitwa kamati ya hamasa. Lakini siungi mkono aina ya watu...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon anayeitwa Guelor kanga Kaku, anatarajiwa kukutana na kamati ya nidhamu CAF kujieleza kwanini mama yake mzazi alifariki 1986 lakini yeye alizaliwa mwaka 1990...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunawaheshimu sana wanajeshi wetu kutokana na nidhamu kubwa waliyonayo na waliyojengewa. Sote tunaamini michezo ni Afya ,furaha lakini pia ni uchumi. Uwekezaji kwenye michezo michezo licha ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kujiunga nao kwa mkataba wa miaka mitatu, Klabu ya Simba SC imefunguka kuhusu taarifa zinazomhusisha Kiungo wao...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Abdi Kasim babi ndio ni mmoja wa mafundi wa soka kutokea Zanzibari akibebwa na nguvu/stamina pamoja na ukali wa mashuti yake. Abdi Kasimu amecheza Yanga kwa mafanikio makubwa na alikua kati ya...
6 Reactions
12 Replies
952 Views
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani...
9 Reactions
44 Replies
23K Views
[emoji599] SIMBA QUEENS WAPO CHAMAZI JKT QUEENS WAPO MBWENI ... [emoji1485] Leo Kuna Sintofahamu Kubwa Katika Mchezo Huu Wa Leo Simba Queens Vs Jkt Queens [emoji1485] Simba Queens Wapo Chamazi...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Zlatan Ibramovic Edward Henrik Larsson Hawa wote ni miamba ya Soka toka nchini Sweden japo kwao Sweden kuna mdau mmoja wa Sweden aliniambia Wasweden wanampenda sana Zlatan Ibramovic sio ajabu...
1 Reactions
15 Replies
794 Views
Wakati mwingine ujuaji usio na kiasi huweza kumsababishia mhusika matatizo yasiyo ya lazima mbele ya safari ambayo pengine angefika salama. Haji Manara kwa mfano. Bwana yule hujifanya anayo mengi...
15 Reactions
60 Replies
4K Views
Waziri wa Uatamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watanzania na wadau mbalimbali wajitokeze kuzichangia timu za Taifa katika harambee itakayofanyika Januari 10, 2024...
0 Reactions
5 Replies
621 Views
Mashindano ni mengi sana kwa wachezaji walewale. Ligi, FA, CECAFA, Caf champions, AFCON na mechi za kirafiki zote hizi ni muhimu na zina uwezo wa kuzalisha majeruhi kwenye timu yako. Haya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Bado Jamhuri ipo kwenye growth process , it is too obvious nyie kushinda. Hakukuwa na changamoto. Kwanza SSC leo hii ikikutana na YANGA bado SSC atalalwa sio chini ya goli 3 . Haiwezekani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI. Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta...
5 Reactions
31 Replies
21K Views
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom