Leo Yanga waliweka uzito katika mchezo dhidi ya Jamhuri, keshokutwa itakuwa ni Simba vs Singida, Yanga na Azam

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.

Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.

Kazi ipo
 
Kabla ya kuilaumu Yanga Rudi nyuma michezo kumi aliyocheza Simba alafu fanya tathmini ya timu Yako katika utengenezaji na umaliziaji wa nafasi wanazopata.

Kama maswala ya ushirikina hakuna anaye iweza Simba inayo tambuliwa na CAF kwa shriki.
 
Yanga haijatolewa?
 
Hujui mpira. Umekariri kwanba mpira ni kukimbia tu.

Jamhuri walicheza mpira upi zaidi ya kakaa golini mwao.

Jamhuri ni bora kuliko singida na APR
 
Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.

Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.

Kazi ipo
Sijui tumuamini nani sasa.. Labani anasema ilikuwa ni mechi ya kuwajaribu wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambia kabisa viongozi wa Simba kama Jamhuri wangekuwa na quality kidogo tu kesho asbh tulikuwa tunarudi Dar es salaam, mchezo leo ulikuwa mgumu sana na kwa pira lile leo kama tungecheza tu na hata Ihefu tungerudi nyumbani.

Jamhuri walipata sapoti kutoka kwa jamaa zetu waliopigwa mabao 3-1 jana, sasa nawakumbusha keshokutwa ni Simba vs Singida, Yanga, Azam.

Kazi ipo
Acha kutafuta kuonewa huruma. Pambana na hali yako
 
Kabla ya kuilaumu Yanga Rudi nyuma michezo kumi aliyocheza Simba alafu fanya tathmini ya timu Yako katika utengenezaji na umaliziaji wa nafasi wanazopata.

Kama maswala ya ushirikina hakuna anaye iweza Simba inayo tambuliwa na CAF kwa shriki.
Sijui ni nini kimewapata mashabiki wa Simba kufanya wasahau muenendo wao ktk mechi za nyuma.
 
Kabla ya kuilaumu Yanga Rudi nyuma michezo kumi aliyocheza Simba alafu fanya tathmini ya timu Yako katika utengenezaji na umaliziaji wa nafasi wanazopata.

Kama maswala ya ushirikina hakuna anaye iweza Simba inayo tambuliwa na CAF kwa shriki.
Na ww toka uipate hyo ya CAF umesahau kabisa nyie kwa ushirikina localy hamfai..kupita milango isiyoruhusiwa na kumwaga mimaji ya kilozi uwanjani au kw sbb hyo ni ss wabongo eee...
 
Sio ya CAF tu, apa bongo Simba imesha adhibiwa na kuonywa maranyingi zaidi kuhusiana na ushirikina kuliko klabu yoyote Nchini.
Zipo kumbukizi nyingi tu za kipindi Cha nyuma zihusuzo adhabu za Simba walizopewa na TFF kuhusu ulozi ila tuna watunzia heshima kuzirejesha jukwaani.
 
Yanga na Simba kw ndumba hamchekani..sema nyie mnasahaulika tuu
 
Sio ya CAF tu, apa bongo Simba imesha adhibiwa na kuonywa maranyingi zaidi kuhusiana na ushirikina kuliko klabu yoyote Nchini.
Zipo kumbukizi nyingi tu za kipindi Cha nyuma zihusuzo adhabu za Simba walizopewa na TFF kuhusu ulozi ila tuna watunzia heshima kuzirejesha jukwaani.
Yanga ni magwiji kwa uchawi.
Mechi zenu zote ama mnatumia ndumba ama kuhonga waamuzi na wachezaji wa timu pinzani.
Mlichinja ng'ombe wa kafara kwa ajili ya club bingwa na mapinduzi.Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom