Haifai timu ya jeshi kufanya uhuni

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,972
Tunawaheshimu sana wanajeshi wetu kutokana na nidhamu kubwa waliyonayo na waliyojengewa.

Sote tunaamini michezo ni Afya ,furaha lakini pia ni uchumi.

Uwekezaji kwenye michezo michezo licha ya kuwa na faida za kiafya,lakini pia unainua uchumi wa wachezaji mmoja mmoja na taifa kwa ujumla iwapo tutakuwa na wachezaji wenye ushindani wa kimataifa.

Hata hivyo ninasikitishwa na baadhi ya viongozi wa michezo wanaoongoza timu za jeshi kufanya maamuzi ya kupingana na sheria,taratibu na kanuni za michezo.Huu ni utovu wa nidhamu.

Kwanini JKT hawakupeleka timu uwanjani leo huku wakijua kabisa watakabiliwa na adhabu?
 
Waliend kupeleka watoto shule na kulp ada
IMG-20240109-WA0001.jpg
 
FB_IMG_17048164383987026.jpg

poor Tff, tff ni kikundi cha wapuuzi wanafanya upuuzi Sana.
 
Uwanja ulifungiwa na hakukuwa na taarifa ya kufunguliwa.
Pre match meeting imefanyika kwa makubaliano ya pande zote mbili kuwa mechi ingechezwa chamazi.
Kama hawakuwa tayari kwa nini hawakuwa wazi kwenye kikao?
Huu ni uhuni
Huu uhuni wenu wa kibwege kafanyieni wajinga now kila mtu anajua janjajanja yenu,mikia na tff lenu moja,sasa kama mwenyej ni jkt alieulipia uwanja wa chamaz ni nani?
 
Wanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopolo
 
Uwanja ulifungiwa na hakukuwa na taarifa ya kufunguliwa.

Pre match meeting imefanyika kwa makubaliano ya pande zote mbili kuwa mechi ingechezwa chamazi.
Kama hawakuwa tayari kwa nini hawakuwa wazi kwenye kikao?

Huu ni uhuni
Kwahiyo aliyelipa gharama za kukodi uwanja wa Chamazi ni TFF au Simba Queens? Mbona kama kuna hali ya ubabaishaji hapo?
 
Wanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopolo
Kwanini simba isicheze kwenye uwanja wa JKT mwenyeji
Nani kaulipia chamazi complex
Wakati JKT wamekana kuuandaa huo uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo aliyelipa gharama za kukodi uwanja wa Chamazi ni TFF au Simba Queens? Mbona kama kuna hali ya ubabaishaji hapo?
Chamazi wanacheza bure viingilio hakuna na mpira wenyewe kwenye tv ni hisani
 
Back
Top Bottom