Yericko Nyerere ana point kuhusu Kamati ya Hamasa ya AFCON, asikilizwe

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Sina tatizo hata kidogo na walioteuliwa kwenye kitu kinachoitwa Kamati ya Hamasa ya Timu ya Taifa. Naunga mkono kabisa uwepo wa kitu kinachoitwa kamati ya hamasa. Lakini siungi mkono aina ya watu walioteuliwa kuwakilisha taifa katika jambo hili muhimu kwa taifa letu.

Ukiondoa waandishi wa Habari za michezo Bi @officialpriscakishamba na Mshirikina mwenzangu @jemedarisaid ambapo naamini hawa wangeweza kwenda kwenye michuano hii bila kofia ya kamati ya hamasa, badala yake wangeenda kwa kofia ya Uandishi wa habari za michezo.

Nataka tujadili na kutoa elimu kidogo kwa mamlaka za soka na Wizara ya michezo kwa ujumla wake. Swali moja linaweza kuulizwa, Hivi Kama ya Hamasa maana yake nini? Nani anahamashwa na hii kamati? Nafikiri ili tujibu tunatakiwa kwenda sehemu muhimu mbili, kwanza ni kwenye kamusi ya kiswahili ya TUKI, ambayo inatufafanulia kuwa Kamati ya Hamasa ni kundi la watu zaidi ya mmoja ambao wanapewa jukumu la kuhanikiza/kushehesha/Kutia moyo/ Kutia morali/ kuelimisha/ kuhamasisha nk. Pili ni kuona mifano ya kamati za uhamasishaji za mataifa ya wenzetu. Nitatoa mfano Nigeria wamepeleka kundi la ma legendary wa timu ya taifa 30 ambao kazi yao ni kuwahamasisha wachezaji. Senegal Wamepeleka wachezaji wazamani zaidi ya 18 kazi ni moja tu kuwa motivate wachezaji. Hata Uingereza tunayopenda kuiga kila wafanyacho, Michuano ya kombe la dunia msimu uliopita walipeleka kamati ya uhamasishaji ikiongozwa na David Bakham kwaajili ya kuhakikisha akina Magway wanakuwa vizuri kiakili.

Sasa katika mukhada wa soka, Nani anayehamasishwa na hiii kamati kati ya Wachezaji na mashabiki wa tanzania ambao watakuwa wamekaa kwenye tv zao Mbutu Kigamboni wakifuatilia michuano huko Ivory coast? Kwanadharia hiyo, Jibu la haraka, Tafsiri ya Kamati ya hamasa ya soka katika michuano ni kuhanasisha wachezaji, kuwatia moyo wachezaji, kuwatia morali wachezaji wawapo kambini na uwanjani huko Ivory coast.

Swali, Je Mwijaku, Joti, nk ambao sio watu wa mpira kabisa, Watamhamasisha mchezaji gani ndani ya taifa Stars ili acheze bila kuhofia majina makubwa kama Mo Salah? Watamjenga kisaikolojia mchezaji gani ajihisi ndua ya soka ni yake? Jibu ni Ziro, Hivi tunapeleka watu wasio wafani husika kwa lengo la ku achieve nini hasa?

Kwanini TFF na Wizara ya Michezo wamezhindwa kuwakusanya wachezaji wa taifa stars walioshiriki michuano hii miaka ya 80 ile stars ya akina Peter Tino, Tenga, Manara, Kibadeni nk. Tunashindwa kuwapa heshima stahiki hawa wazee waliolipigania taifa kisha tunapeleka wenye fani za uchekeshaji wakahamasishe wachezaji kwenye michuano ya soka Afrika? Nani katuloga hivi? Tumeona uteuzi wa timu ya taifa kocha kamwacha mfungaji bora wa ligi ya Norway Pellegrino, huko hatuwezi kuingilia kazi ya kocha tutamhukumu na kumfukuza tukipigwa mechi zote huko.

Pale Wizarani naamini Mtani wangu mngoni Wakili msomi Damas Ndumbaro sio mtu wa soka yeye ni mtu wa sheria kisutu huko, hivyo huenda hawafahamu kabisa washujaa wa soka akina Jela Mtagwa, Peter Tino, Akina Tenga nk, Lakini yuko Naibu Waziri Kijana mwenzetu Mwana FA kabla hajawa Waziri tulikuwa tukishangilia pamoja mpira na akitoa maoni chanya juu ya soka letu na historia yake, Nini kimempata hadi anavurunda kwenye mambo madogo kama haya?. Kwanini kama lengo ni hamasa ya kimchongo kama hii tungeenda Ngende, Kwamsisi, Ulanga, Sumbawanga na Mbutu Block E. Kigamboni tuchukue kundi la wachawi angalau wakasaidie bahati nasibu kushinda timu huko kuliko hizi aibu za rejareja kwa taufa letu.

Nafikiri kama taifa tunatakiwa kufika wakati tuondoe kwa lazima siasa na ujinga michezoni.

Michongo hii ya upigaji pesa za umma tusipoidhibiti tunakokwenda ni kubaya zaidi, Hawa wanaoitwa kamati ya Hamasa ambao mimi nawaita Kamati ya HAMASI, wanatumia pesa ya umma, wanalipwa mamilioni ya umma wanasafishwa, walipiwa hoteli chakula na kila kitu katika kipindi chote cha michuano, Nani atatathimini ufanisi wao na nani atawajibishwa kwa ikiwa ufanisi utakuwa sifuri?

Jibu lipo, piga hela ya majinga ya Jamhuri ya Muungano wa Wajinga!

Watanzania tumeumbiwa kusahau, In case umesahau au ulikuwa hujui, Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani AFRIKA ni YERICKO YOHANESY NYERERE kutoka TANZANIA.

Sifa na heshima ni za Watanzania!

Idumu Mizimu!
 
Wamemjaza vyawa.
 
Aibu kwelikweli
 
Napata picha Job anavyopata hasira akimuona Jemedari anaongea.huyu mtu wa ovyo anawaongelea negative sana wachezaji wengine.
Kimsingi hakuna ualisia wa kuwaita kuwa ni wahamasishaji.hawana umuhimu ni matumizi mabaya ya fedha.labda Kama wanaandaliwa kuja kusifia awamu ya 6.hapo baadae
 
Wanataka watuhamasishe tujitokeze vibanda umiza SI unajua tutakaposhangilia watakuwa wanasikia huko ivory coast
 
""Kamati hii itakuwa na jukumu la kuhamasisha Mashabiki na Wapenzi wa michezo ndani na nje ya Nchi kujitokeza kuzishangilia na kuziunga mkono Timu za Taifa pamoja na kuratibu hafla maalum ya harambee ya kuzichangia Timu za Taifa inayotarajiwa kufanyika January 10, 2024 Jijini Dar es Salaam ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa atamuwakilisha Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya harambee hiyo.""

Kwani kuna ubaya gani??

Mbona wamechaguliwa pia watu wa mpira??
Hao kina Joti, Mwijaku and the like ni kwa ajili kuhamasisha mashabiki na watu kuichangia timu, hao wa mpira kina Hersi ndo wapo kisoka zaidi.

Binafsi sijaona ubaya wa hiyo kamati.
Ila hatutafika popote maana sisi hatunaga malengo ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom