Wakuu kwema? Heri ya mwaka mpya. Hope mko poa na mapambano yanaendelea. Mungu ni mwema.
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni nilisoma taarifa mitandaoni inayosema kocha wa Taifa Stars Adel...
Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON.
Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la...
Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim...
1. Ukabaji wa kasi
Namibia kila muda wakiwa hawana mpira hawakuwapa nafasi Tunisia kucheza watakavyo bali walihakikisha wanakaba kitimu na kuwanyima uhuru Tunisia kutengeneza mashambulizi makini...
Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly...
Jamaa analijua goli sio masihara, anafunga mabao katika mazingira magumu sana huyu Mgambia, ana nguvu, mrefu ana mashuti na kasi ya ngiri, shida yangu ni kuwa kwa vile timu yetu imekosa kitengo...
Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia...
Kwa haraka nimesikia analalmikiwa Shafih Dauda kwa kuongea na mchezaji ili awe wakala wake wakati mchezaji tayari ana management yake inayomsimamia
Namuona Kitenge wa Wasafi fm akichochea kuni...
Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu.
Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua...
Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka).
Timu...
Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka...
Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!.
Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula...
Naamini waaamuzi na waamuzi wasaidizi wa Tanzania mnaangalia AFCON Kwa lengo la kujifunza. Mechi mbili za Leo yaani Senegal vs Gambia na Cameroon Vs Guinea zimewapa funzo adhabu gani anapaswa...
Tafakari Binafsi
Kitendo cha kuwaacha wachezaji baada ya dirisha dogo kufungwa sio kizuri Kwa wachezaji na Kwa maendeleo ya soka letu especially wachezaji wazawa.
Mchezaji anayesajiliwa na timu...
Huwa nikisikia Shabiki kwenye Kipaza sauti anaanza kwa kusema “Tunaoumia ni sisi Mashabiki kuliko wao” basi naachana na kusikiliza naendelea na mambo mengine, kwenye huu mpira wetu wa Bongo hakuna...
Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa...
Kucheza na timu zenye uwezo mkubwa na wachezaji mahiri wanaocheza Ulaya timu zenye uzoefu mkubwa na heshima kubwa kisoka Afrika na duniani inabidi uingie uwanjani kupigana jihadi kwa jasho na damu...
Hatimaye nyota wa kimatifa wa Tanzania aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria, Simon Msuva, amefunguka suala la kuhusishwa kujiunga na klabu za Simba SC na Young...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.