Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,790
Naamini waaamuzi na waamuzi wasaidizi wa Tanzania mnaangalia AFCON Kwa lengo la kujifunza. Mechi mbili za Leo yaani Senegal vs Gambia na Cameroon Vs Guinea zimewapa funzo adhabu gani anapaswa kupewa mchezaji anayehatarisha usalama wa mwenzake Kwa kucheza madhambi bila tahadhari.